UDOM kinanuka Jumatano

UDOM kinanuka Jumatano

Ndio nini umeandika? Au umewaandikia UDOM wenzako?
 
Usipojua kaakimya wakusaidie wanaoujuakinachoendele a usikimbilike kujibukilakitu jf
 
Wakuu msilaumu sana hadi anamaliza dip yake atakuwa vizuri. Kujieleza ni kazi nzito ila inaonekana wamelizwa fedha zao na viongozi wa chuo.. mkiona hivyo wapigeni hata mchanga kama mawe hayaonekani campus
 
Daaah nimeishia kucheka,jamaa ana hasira,usijali ndugu tumekuelewa hahahaaaaaa
 
Daaa. Communication skills hapo inahusika...
 
Serikali iliahidi kutoa mkopo kwa wanafunzi watao soma diploma ya ualimu, lakini mpaka leo kuna watu wameishi hapa udom kwa muda wa miezi miwili bila kupata huo mkopo ,maisha magumu sana watu wanaanza kufungasha mabegi kwa kukosa hela ya kuendesha maisha ya chuo,hivyo basi jumatano ijayo tunakwenda utawala kuhoji nini hatima yetu,"Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu"na taifa halita songa bila kuwa na walimu bora wa sayansi
 
Udom nili chuo la hovyo sana kupata kutokea kusini mwa jangwa la sahara,kuanzia mianafunzi ya pale mpaka miviongozi yao.
 
Udom nili chuo la hovyo sana kupata kutokea kusini mwa jangwa la sahara,kuanzia mianafunzi ya pale mpaka miviongozi yao.

yah kwa mtazamo wako ila kumbuka watu wamepata kazi kupitiya chuo hichi na maisha yanasonga
 
Udom chuo cha vilaza hata div four wanapokelewa yaani wanafunzi pamoja na uongozi mzima hakuna kitu huwezi fananisha na MU au Udsm
 
Back
Top Bottom