UDOM kinanuka Jumatano

Atar atar. . . Watu wapo medali tawn wanatake cover, na Ujanja waporni na mbinu za kivita, fulu kukaba lofu! Yani wepesi!
 
haya sasa mmeshaanza kupigwa mabomu tulieni nyie diploma students haya ngoja mpewe haku yenu Kwa suluba
 
Kweli nimeamini UDOM kumejaa vilaza wa kutosha. Hii ndio nn sasa umeandika? Yaani jitu likishafeligi secondary ujue ni lijinga sana , mm ningekuwa na office nisingekaa nikaajiri mtu wa UDOM wala SAUT
 
Huyu aloandika si ndo yule alokutwa chini ya daraja na mwenzie wakinaniliu ka amri ka saba toa moja!!
 
Udom ni chuo namba moja Tanzania kwa kutoa waajiriwa wazuri kuanzia Doctors mpaka Education huwezi linganisha na Mzumbe au Udsm hata siku na moja.
 
Udom ni chuo namba moja Tanzania kwa kutoa waajiriwa wazuri kuanzia Doctors mpaka Education huwezi linganisha na Mzumbe au Udsm hata siku na moja.

Hahahaaaa unamaanisha nini mkuu wakati hiyo YUDOMU yenyewe ni kisiasa zaidi hata lecturers ni pungufu ukilinganisha na mahitaji.
 
Udom ni chuo namba moja Tanzania kwa kutoa waajiriwa wazuri kuanzia Doctors mpaka Education huwezi linganisha na Mzumbe au Udsm hata siku na moja.

hvi una akili timamu?
 
una akili kma za mama ako shen.z

Toa hoja mkuu, imethibitika watu wanaotoa matusi JF ni watu wanaokosa hoja kusupport maoni yao, chukua tahadhari usijekuhesabiwa kwenye kundi hili.
 
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe
hahaha hongera kwa upuuzi wakoo nahisi ndo wale wa div 4 ukaenda chukua certificate mzumbe mbona cc wa degree mzumbe hatupo hivyo please delete post yako hiyo
 
Hahahaaaa unamaanisha nini mkuu wakati hiyo YUDOMU yenyewe ni kisiasa zaidi hata lecturers ni pungufu ukilinganisha na mahitaji.

Acha upumbavu udom lectures wapo shazi kulinganisha na vyuo vyenu mbuzi hvyoo kwanza nnafuraha kuitwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma.
Wewe je upo chuo au institute.
 
Acha upumbavu udom lectures wapo shazi kulinganisha na vyuo vyenu mbuzi hvyoo kwanza nnafuraha kuitwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma.
Wewe je upo chuo au institute.

Nilijua lazima uropoke tu kutokana na inferiority complex.
Sasa ushanitusi alafu hujui nimesoma wapi wala hujui nasoma wapi najua nikikwambia kua nilisoma chuo ulichokosa sifa za kujiunga nacho utaelewa.
Na nilishamaliza BSc. yangu mkuu sasa sijui utatoa tusi gani tena
 
BScE Ongera kwa kukashfu udom.
 
Acha upumbavu udom lectures wapo shazi kulinganisha na vyuo vyenu mbuzi hvyoo kwanza nnafuraha kuitwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma.
Wewe je upo chuo au institute.

yani kama mm am very proud kuwa mwanafunzi wa Udom tena ndugu zangu au jamaa zangu wakiniuliza upo chuo gani with maximum confidence nasema The University of Dodoma achana na hao wanaowaza UDOM kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…