Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 940
- 401
- Thread starter
- #41
Atar atar. . . Watu wapo medali tawn wanatake cover, na Ujanja waporni na mbinu za kivita, fulu kukaba lofu! Yani wepesi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipojua kaakimya wakusaidie wanaoujuakinachoendele a usikimbilike kujibukilakitu jf
Udom ni chuo namba moja Tanzania kwa kutoa waajiriwa wazuri kuanzia Doctors mpaka Education huwezi linganisha na Mzumbe au Udsm hata siku na moja.
Udom ni chuo namba moja Tanzania kwa kutoa waajiriwa wazuri kuanzia Doctors mpaka Education huwezi linganisha na Mzumbe au Udsm hata siku na moja.
hvi una akili timamu?
udom kwel wanaend vilaza,tuliofàulu tuko mlimani
una akili kma za mama ako shen.z
hahaha hongera kwa upuuzi wakoo nahisi ndo wale wa div 4 ukaenda chukua certificate mzumbe mbona cc wa degree mzumbe hatupo hivyo please delete post yako hiyodegree ya udom equals to certificate ya mzumbe
Hahahaaaa unamaanisha nini mkuu wakati hiyo YUDOMU yenyewe ni kisiasa zaidi hata lecturers ni pungufu ukilinganisha na mahitaji.
Wewe ndo unazo akili ambaye unasoma sociology udsm mpumbavu ww.hvi una akili timamu?
Acha upumbavu udom lectures wapo shazi kulinganisha na vyuo vyenu mbuzi hvyoo kwanza nnafuraha kuitwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma.
Wewe je upo chuo au institute.
Nilijua lazima uropoke tu kutokana na inferiority complex.
Sasa ushanitusi alafu hujui nimesoma wapi wala hujui nasoma wapi najua nikikwambia kua nilisoma chuo ulichokosa sifa za kujiunga nacho utaelewa.
Na nilishamaliza BSc. yangu mkuu sasa sijui utatoa tusi gani tena
Wewe ndo unazo akili ambaye unasoma sociology udsm mpumbavu ww.
Acha upumbavu udom lectures wapo shazi kulinganisha na vyuo vyenu mbuzi hvyoo kwanza nnafuraha kuitwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma.
Wewe je upo chuo au institute.
Hakijanuka tu bado?