hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Hivi ile mikopo ya LAPF ina vigezo gani kupatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ile mikopo ya LAPF ina vigezo gani kupatikana?
Udom chuo cha vilaza hata div four wanapokelewa yaani wanafunzi pamoja na uongozi mzima hakuna kitu huwezi fananisha na MU au Udsm
Acha upumbavu udom lectures wapo shazi kulinganisha na vyuo vyenu mbuzi hvyoo kwanza nnafuraha kuitwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma.
Wewe je upo chuo au institute.
Hahahaha!nacheka kwa dharau.Sikia wewe sikia wewe maskini wa akili tajiri wa ujinga Udom kuna rafiki yangu anasoma alimaliza Tabora boys na alipata one ya sita form six comb ya PCM alafu post za UDSM za first year ziliambatanishwa na matokeo ya mwanafunz ya form four na form six nilicheki waliochaguliwa kusoma textile ni aibu tupu mwenye ufaulu mkubwa ana two ya tisa na wenye four wamebebwa kama uhamini tafuta post hizo uziangalie.Nataka uniambie yule wa Udom mwenye one na wa Udsm mwenye four bora yupi tena ngoja nitafute hayo majina ikibidi niyatupie umu ili waliochaguliwa kwa four UDSM waonekane kwa umma mzima.
degree ya udom equals to certificate ya mzumbe
Kuku ana akili kushinda wewe mana usiku anarudi bandani kwake mwenyewe ila wewe ungekuwa kuku ungepotea kwa akili yako ndogo.Unafananisha Udom na Mzumbe kwanza mzumbe ni bora lingekuwa tawi la chuo chochote kwa udogo wake na kuchukua vilaza kama wewe.Kuna siku mtu aliandika humu jamvini kuwa ana masters ya mzumbe ila inamsuta mana walimu walikuwa wanawaomba rushwa ili wawajazie matokeo mazuri.Nyie ni sawa na college moja hapa Udom.
Hahahaha!nacheka kwa dharau.Sikia wewe sikia wewe maskini wa akili tajiri wa ujinga Udom kuna rafiki yangu anasoma alimaliza Tabora boys na alipata one ya sita form six comb ya PCM alafu post za UDSM za first year ziliambatanishwa na matokeo ya mwanafunz ya form four na form six nilicheki waliochaguliwa kusoma textile ni aibu tupu mwenye ufaulu mkubwa ana two ya tisa na wenye four wamebebwa kama uhamini tafuta post hizo uziangalie.Nataka uniambie yule wa Udom mwenye one na wa Udsm mwenye four bora yupi tena ngoja nitafute hayo majina ikibidi niyatupie umu ili waliochaguliwa kwa four UDSM waonekane kwa umma mzima.
Watuache tuitwe Udom chuo kisicho na matawi,mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho wanakaa chuoni na bado chuo hakijai huku humanity kuna mablock hayatumiki kama block 5,12 n.k,Naiomba serikali iwalete wanafunzi wa Mzumbe waje wakae huku mana wanapatashida kupanga mitaani dah!poleni sana ndugu zangu mtamaliza tu komaeni kwenye nyumba za kupanga.Hajui hapo udsm wale wa sociology wote ni dvs4 pia kuna kozi ya washona chereani hapo udsm pia ni dvs4 tena ya mwisho acheni udom iitwe udom.
Hajui hapo udsm wale wa sociology wote ni dvs4 pia kuna kozi ya washona chereani hapo udsm pia ni dvs4 tena ya mwisho acheni udom iitwe udom.
Hahahaha!nacheka kwa dharau.Sikia wewe sikia wewe maskini wa akili tajiri wa ujinga Udom kuna rafiki yangu anasoma alimaliza Tabora boys na alipata one ya sita form six comb ya PCM alafu post za UDSM za first year ziliambatanishwa na matokeo ya mwanafunz ya form four na form six nilicheki waliochaguliwa kusoma textile ni aibu tupu mwenye ufaulu mkubwa ana two ya tisa na wenye four wamebebwa kama uhamini tafuta post hizo uziangalie.Nataka uniambie yule wa Udom mwenye one na wa Udsm mwenye four bora yupi tena ngoja nitafute hayo majina ikibidi niyatupie umu ili waliochaguliwa kwa four UDSM waonekane kwa umma mzima.
Watuache tuitwe Udom chuo kisicho na matawi,mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho wanakaa chuoni na bado chuo hakijai huku humanity kuna mablock hayatumiki kama block 5,12 n.k,Naiomba serikali iwalete wanafunzi wa Mzumbe waje wakae huku mana wanapatashida kupanga mitaani dah!poleni sana ndugu zangu mtamaliza tu komaeni kwenye nyumba za kupanga.
Wewe ni tasa wa akili usiyezalisha hoja.Nia yako ilikuwa kukikashifu chuo chetu,nenda moja kwa moja kwenye nia yako usizungushe maneno kama kiuno cha dondora.!
!
Umedhihirisha kwamba udom ni vilaza mno. Bandiko halina kichwa wala miguu, hakuna nukta wala koma, maavi matupu. Chuo cha kata kinaharibu elimu yetu.