Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Poleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini wadau na wizara zisipunguze mzigo kwa vyuo kama Udsm,DIT,MUSTnk maana vinachukua wanafunzi wengi ilhali uwezo wa kuwabeba ni mdogo,Je wadau wa elimu mnalionaje hili suala ,maoni jumuishi na nyongeza ya ushauri ikizingatiwa kozi tajwa ni kozi mama katika industry ya Engineering..