Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Hapana mkuu mfano vyuo kam.ivyo nwak huu vimebeba wanafunzi mno na kila mtu anahitaji vyuo vy serikaliUnataka kuongeza majobless mitaani?
Electrical and telecom Engineering ✌️ inatema ajiraHivi kati ya
Electrical and biomedical
Electrical and hydropower
Electrical and telecom
Ipi ni kozi nzuri kwenye soko la ajira
We soma yoyote kati ya hizo mambo ya ajira muachie MunguHivi kati ya
Electrical and biomedical
Electrical and hydropower
Electrical and telecom
Ipi ni kozi nzuri kwenye soko la ajira
Kweli kozi hizo zilitakiwa ziwepo zamaniPoleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini wadau na wizara zisipunguze mzigo kwa vyuo kama Udsm,DIT,MUSTnk maana vinachukua wanafunzi wengi ilhali uwezo wa kuwabeba ni mdogo,Je wadau wa elimu mnalionaje hili suala ,maoni jumuishi na nyongeza ya ushauri ikizingatiwa kozi tajwa ni kozi mama katika industry ya Engineering..