ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 365
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii