UDOM kwa hili to much sasa

UDOM kwa hili to much sasa

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
365
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii
 
Lecha ndo mdudu gani? Chezea kikristo wewe
 
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii

Duh, yani we ndo unaesababisha udom ishuke thamani.
sasa lecha ndio nini?
Au ndio kirombo hicho?
Ingekuwa mimi ni mwalimu wako lazima ninge
kukerisha usome kwa miaka mitano badala ya mitatu.
 
Fani zenyewe zimepitwa na wakati alafu muwatishe madent
na kukeli, waacheni waingie mtaani wachakalike bwn!
 
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii

humo kwenye red ndiyo nini?
 
ndo mana mtaani mnatuaibisha kwa sababu ya chuo chenu cha kata,lecha ndo nn?
 
Duh, yani we ndo unaesababisha udom ishuke thamani.
sasa lecha ndio nini?
Au ndio kirombo hicho?
Ingekuwa mimi ni mwalimu wako lazima ninge
kukerisha usome kwa miaka mitano badala ya mitatu.

We dogo Hujaelewa au tatizo nini?hivi kila mtu akikosea kuandika inamaana kasoma udom?Tatizo la watanzania wanapenda kupindisha mada ingawa inaeleweka ninawasiwasi na wewe hasa katika swala la uwelewa mbona wenzio wameelewa AU WEWE NDO MIONGONI YA WALIODISCO UDSM
 
ndo mana mtaani mnatuaibisha kwa sababu ya chuo chenu cha kata,lecha ndo nn?

Acha kupindisha mada kijana,kama umeshindwa kutoa mchango kwa mada hii,kweli kudisco UDSM ni haki yako pore sana
 
Aisee tarimo na mimi ni Lecha kwa hiyo lazima tu nikukerishe!
 
Last edited by a moderator:
Kaandika kidebwedebwe ka Zemacoporo mara Zemakororo,mara Zemazodoyo mara Zemajogoro.Karibu Mbeya
 
we unachaguaje coz bila kujua contents na hatma yako ilo ni tatizo umebugi men
 
Back
Top Bottom