UDOM kwa hili to much sasa

UDOM kwa hili to much sasa

Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii

ukisoma utafaulu,,,,,,that z the principle,usitegemee notez za lecturer,waambieni wasome,icje ikawa malecturer hawana problem
 
nawewe umesoma chuo gani bwana tarimo wa mashati rombo???
 
ukisoma utafaulu,,,,,,that z the principle,usitegemee notez za lecturer,waambieni wasome,icje ikawa malecturer hawana problem

Tatizo sio ma lecturer, wenye matatizo ni asistance lecha na ma tutorial lecha..
 
Yaani kama kweli huyu jamaa ni mwanafunzi wa UDOM... It's a disgrace kwa kweli.. khaa..!!

tatizo ni kubwa sana,na linazidi kuwa kubwa,
mshukuru mungu kwa level ulofika maana kuna wenzio wamefika the same level ila ni kama wapo std VII
 
Tatizo sio ma lecturer, wenye matatizo ni asistance lecha na ma tutorial lecha..

hehehhe bro Baba V huyu tarimo inaonesha nae ni zao la UDOM,yeye na wadogo zake anaowatetea ni kama pipa na mfuniko
 
Last edited by a moderator:
Hapo kujieleza tu ni tabu je kama ndio mtihani inakuwaje
 
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii

Udom ni chuo bas? huko mmejila!!
 
Huyu mleta mada anapatikana Tanzania
pia watu wengine km Nchimbi,Chitalilo
Kihiyo n.k
 
Hivi kwa nini?assistance lecha hasa wa social science mnawapiga bit wadogo zetu kwamba lazima umkerishe koz wakiwa mwaka wa 3,tena unajisifu na kutaja list ya watu uliowakerisha ambao wamesoma degree kwa miaka 4 had 5, hivi kwa nini tabia hii wanayo assistance lecha na matutorial lecha?kwanini ? Dk, na Prof hawana tabia hii

hahahahahaaaaaa, hawa ma lecha bwana wanatabia mbaya
 
yani hawa jamaa ni umalaya na tamaa zikisupportiwa na udomo zege
 
Back
Top Bottom