UDOM List of first year applicants-2013/2014

UDOM List of first year applicants-2013/2014

Salama yake..mm nimemsearch kwenye pdf sikumuona..nikafkiria ndio wa fourth round..
Angalia Vizuri
bicha.jpg
 
Naomba kufahamu zaidi mazingira ya usomaji wa hii course hapo UDOM,pia baada ya masomo uwanja wa ajira upoje kwa hapa TZ?
Shukuran wakuu
 
kaka ucsahau kunichekia jina langu VICENT ALOYCE BICHA na bro wangu TIMO ARON, fanya kwel kaka
TIMO ARON kachaguliwa Bachelor of Education in Special Needs sorry for delay
 
Back
Top Bottom