UDOM List of first year applicants-2013/2014

UDOM List of first year applicants-2013/2014

Naomba mniangalizie Bwenda bibuka Piason,BACHELOR OF ED IN SPECIAL NEEDS
 
Naomba mniangalizie Bwenda bibuka Piason,BACHELOR OF ED IN SPECIAL NEEDS.ASANTE WAKUU COZ NINA PRESHA
 
MSAADA.Niliomba kwa chet cha diploma,profile inasoma "selection is on progress" Sasa mbona wengine wanapata?
 
Naomba kufahamu zaidi mazingira ya usomaji wa hii course hapo UDOM,pia baada ya masomo uwanja wa ajira upoje kwa hapa TZ?
Shukuran wakuu

-

mbaruck said:
Today-12:34

ktk kozi ambayo college ofearth science imejipanga ni hio coz ina wali wa kutosha hasa wahindi,mazingira ya kusomea yapo fresh coz chuo kina quarry ya kufanya observation ya mawe na madini,pia kuna geological survey of tanzania(GST) ampayo wa'funzi wanaenda kufanya practicals!filed pia haisumbui coz wanakwenda mbeya-chimara ambapo wanaaungana na wanafunzi wa udsm!
-
 
Vipi mkuu NingaR hujapata mtu wa mining engineering umkabidhi handouts za mwaka wa kwanza!?? Haya ndo mambo tunataka hapa jukwaani..Good work mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom