UDOM mbona kimyaaaa?

UDOM mbona kimyaaaa?

Jamani wadau watu tuna uchungu na maisha sasa mtu anavyouliza kwa anayeweza kuelewa anajibu na kama hujaelewa si lazima ujibu unaweza pita. Mimi jana sa 12 asubuhi kuna rafiki yangu tulifanya wote ile paper ya Planning Officer akaniambia ameitwa oral ila sijaweza kumuuliza
yaliyojiri nimuulize walikua wangapi. so wanaita kimagroup kulingana na zile kazi zilivyokua na wale nurse walishaitwa pia.
Hawajamaliza oral interview?
 
mimi habari nilizopata ingawa sio rasmi ni kwamba,hawa jamaa kwa kada zingine isipokuwa afya na madereva zoote zimesitishwa kuitwa interview ya pili kwa kuwa govt imechacha haina chapaa za kutosha kuajiri watu wotw hao ingawaje ndo mahitaji halisi ya chuo,ila watawaita tu wote waliopass kwa hyo intavyu,nikaambiwa nivute subira,udini tusiuweke jamani mnona hawa udom hawana kashfa hii,tusiwahukumu jamani
 
Back
Top Bottom