- Thread starter
- #21
Hawajamaliza oral interview?Jamani wadau watu tuna uchungu na maisha sasa mtu anavyouliza kwa anayeweza kuelewa anajibu na kama hujaelewa si lazima ujibu unaweza pita. Mimi jana sa 12 asubuhi kuna rafiki yangu tulifanya wote ile paper ya Planning Officer akaniambia ameitwa oral ila sijaweza kumuuliza
yaliyojiri nimuulize walikua wangapi. so wanaita kimagroup kulingana na zile kazi zilivyokua na wale nurse walishaitwa pia.