mimi habari nilizopata ingawa sio rasmi ni kwamba,hawa jamaa kwa kada zingine isipokuwa afya na madereva zoote zimesitishwa kuitwa interview ya pili kwa kuwa govt imechacha haina chapaa za kutosha kuajiri watu wotw hao ingawaje ndo mahitaji halisi ya chuo,ila watawaita tu wote waliopass kwa hyo intavyu,nikaambiwa nivute subira,udini tusiuweke jamani mnona hawa udom hawana kashfa hii,tusiwahukumu jamani