Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 172
- 57
Ukiona hivyo ujue mtihani umekaribia!!!!!
Naelewa sana mkuu!!!!Mitihani co chanzo cha hayo yalyosemwa na wanafunzi mkuu.
Collage gan? Mbona social shwari 2
UDOM ina collage zaidi ya nne,zote wanataka pesa na kwa habari zilzothibitika ni kuwa yale matangazo yalyoonekana cku kadhaa ya kuhmiza mgomo yanabandikwa kwa sasa,kutoka kwa watetezi wa UDOM.