Udom mgomo na maandamano.

Udom mgomo na maandamano.

Johnson Alex Otieno

Senior Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
172
Reaction score
57
Kwa kile kinachoonekana kuwakera wanafunzi ni ahadi za uwongo za viongozi na kucheleweshewa pesa zao za kujikimu baada ya kusaini wiki kadhaa zilizopita.Wanafunzi wanadai kuchoka na utamaduni wa uwongo na wanasema mbinu wanazotumia ni mbinu za kikoloni,wanahoji kama walisaini cku moja iweje wengine wapewe fedha zao na wengine waendelee kuumia? Kwa hali ilvyo wanafunzi hawapo tayari kupokea ahadi zczotekelezeka na wameapa kuanzia kesho watasusia masomo na cku ya ijumaa watafata barabara hadi bungeni.Nawakilisha kutoka kwa watetezi wa haki za wanafunzi UDOM.
 
Hakuna la maana, zamani migumo ya vyuo vikuu ilikuwa ni kwa ajili ya kupinga sera za kinyonyaji dhidi ya raia, lakini siku hizi wanafunzi wa vyuo vikuu ukiona wanaandamana basi wamesup wangi au hawana bumu. Hovyo kabisa wasomi wa miaka hii.
 
Collage gan? Mbona social shwari 2

UDOM ina collage zaidi ya nne,zote wanataka pesa na kwa habari zilzothibitika ni kuwa yale matangazo yalyoonekana cku kadhaa ya kuhmiza mgomo yanabandikwa kwa sasa,kutoka kwa watetezi wa UDOM.
 
UDOM ina collage zaidi ya nne,zote wanataka pesa na kwa habari zilzothibitika ni kuwa yale matangazo yalyoonekana cku kadhaa ya kuhmiza mgomo yanabandikwa kwa sasa,kutoka kwa watetezi wa UDOM.

dondosha kopi moja hapa....maana ake hao jamaa wameteseka sana
 
Unapogoma na kuandamana kwa kuilaumu serikali ukumbuke kulaumu na wazazi wako kwa kushindwa kukuandalia mazingira mazuri ya kukupatia elimu vilevile mlaumu babako kwa kushindwa kuwa fisadi
My take;
wale watoto wa walalahoi kaa mbali migomo hii.
 
Back
Top Bottom