Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 172
- 57
Kwa kile kinachoonekana kuwakera wanafunzi ni ahadi za uwongo za viongozi na kucheleweshewa pesa zao za kujikimu baada ya kusaini wiki kadhaa zilizopita.Wanafunzi wanadai kuchoka na utamaduni wa uwongo na wanasema mbinu wanazotumia ni mbinu za kikoloni,wanahoji kama walisaini cku moja iweje wengine wapewe fedha zao na wengine waendelee kuumia? Kwa hali ilvyo wanafunzi hawapo tayari kupokea ahadi zczotekelezeka na wameapa kuanzia kesho watasusia masomo na cku ya ijumaa watafata barabara hadi bungeni.Nawakilisha kutoka kwa watetezi wa haki za wanafunzi UDOM.