plo lumumba jr
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 111
- 79
Jambo ambalo lililopo udom ni kumuondo Philipo Mwakibinga ambae anamlengo wa chadema na jambo hili linaonekana tokea wiki iliopita utawala walipanga katika kikao cha siri na viongozi wa chama cha mapinduzi.
wanafunzi wameamua kutoiingia madarasani mpaka hapo watakapo muona waziri mkuu wao huyo wa kitivo cha sayansi na sana kwani wanajua hana kosa kwa ni mgogoro wake na Rais wa Federation ambaye ni uvccm aliompigia kampeni asimu wake na kupelekea kushinda na kuamua kuchakachua.
Hii ikiratibiwa vyema na Mracha vice Chancellor wa Chuo cha dodoma na Mwenyekiti wa ccm mkoa wa dodoma

Chuo cha CCM hicho,so mtajuana wenyewe,mm na watoto wangu baadae ni mwiko kabisa kusoma hicho chuo,hovyo sana udini na uccm upo hapo,:banghead:
jasiri au ulimbukeni. Hana lolote.
Someni #mburura nyie. Halaf nimechukia sana kuona uzi wakiji.ga kama huu. Mtu mwenyewe hujajua namna yakupanga visa kwenye taarifa yako,badala yakukazana darasanai ujue reporting angalau,wewe unawaza upuuuzi.
U'CCM na U'CHADEMA hapo UDOM haukuanza leo. Tangu miaka kadhaa huko nyuma(sisi tlowatangulia hapo), yalikuwepo. Na hakuna mwaka viongozi wenye elements za CHADEMA wamewahi kutusaidia zaid ya kutuingiza kwenye migomo na fujo tu (pamoja na kwamba U'CHADEMA ndio ulowasaidia kuingia madarakani).
At the end of the time, mapumbafu yalikuwa #majizi & #mafisadi_papa hakuna mfano. Ndo maana nkaona CHADEMA ni UPUUZI tu. Maana kampeni huchangiwa na Wabunge na makamanda nchi nzima. But becomes ""business as usual""
*****:REJEA; Ambrose Maratho. Rais wa #CHSS mwaka 2009/2010. Nafuu hata Telly angesukuma gurudumu. Hao tlowaweka kwa mwamvuli wa #UKAMANDA walitufyonza hadi huruma.
Nikushauri dogo; achana na mambo hayo. Ni UBATILI MTUPU.
Tulioko mtaani tunaelewa thaman ya 10000 kwa siku ni nin wewe bado ni mwanafunzi kaa kimya
Mleta mada unaongea upuuuz mtupu,watu tupo Darasani kama kawaida na vipindi vinaendelea nani akae nje na wakati UE inakaribia??usidanganye watu tymia akili zaidi hakuna mtu anaweza mbeba huyu jamaa anatafuta umaarufu wa kijinga saaaana
Jambo ambalo lililopo udom ni kumuondo Philipo Mwakibinga ambae anamlengo wa chadema na jambo hili linaonekana tokea wiki iliopita utawala walipanga katika kikao cha siri na viongozi wa chama cha mapinduzi.
wanafunzi wameamua kutoiingia madarasani mpaka hapo watakapo muona waziri mkuu wao huyo wa kitivo cha sayansi na sana kwani wanajua hana kosa kwa ni mgogoro wake na Rais wa Federation ambaye ni uvccm aliompigia kampeni asimu wake na kupelekea kushinda na kuamua kuchakachua.
Hii ikiratibiwa vyema na Mracha vice Chancellor wa Chuo cha dodoma na Mwenyekiti wa ccm mkoa wa dodoma
Hivi wewe mnyama haram unajua kuwa kuna watu kama mimi ambao tumekuja udom kwa ufaulu mkubwa kuliko hao walioko kwenye vyuo unavyofikiri ni vikubwa.Kwanza uliielewa mada?.Nahisi upeo wako ni mdogo na kama utakuwa umesoma inawezekana dada yako alitoa rushwa kwa niaba yako ili ufaulishwe.Nyie watu wa UDOM lazima
mtambue kuwa hicho ni chuo cha
kata hivyo mnapotaka posho ya
10000 hatuwaelewi.
UNA dhambi ya kuwa Muoga