UDOM: Mwakibinga hana kosa, wanafuzi wagoma kuingia darasani mpaka wamuachie huru

UDOM: Mwakibinga hana kosa, wanafuzi wagoma kuingia darasani mpaka wamuachie huru

"wameniondoa chuo baada ya kugundua kuwa mie ni mwiba mkali kwa matatizo wanayoyatengeneza....nitarudi UDOM hata baada ya Miaka 7 maana ndio chuo nilichoandikiwa Kusoma. Aliuta continue brother, hakika nakukubali sana! Mulugo ajipange jimbo kwako.
 
Hakuna dhambi mbaya dunia hii kama kuwa muoga. Lazima tutaelewana tu
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/786985-padre-baptist-mapunda-serikali-ya-ccm-itaua-watu-wengi-sana-mwaka-huu-ili-ibaki-madarakani-21.html
 
Mwendo huo huo kamanda. Kwa ujasiri, uchungu na uzalendo wako ulio nao kwa usanii wa watawala wetu kuturudisha nyuma kimaendeleo, tunakukaribisha hapa kwetu Lupa kwa kusaidia ukombozi wa jimbo hili. Maana si unajua namna bwana Victor alivyolifisadi???? UKIANZA NA MUNGU MALIZA NA MUNGU KIJANA, NA USHINDI UTAKUWA WAKO!!!
 
chuo cha kata hiki wapigwe tu si ni mali ya uvccm udom
 
Hahhaaaa Kashafukuzwa Chuo na nwenzie unasema wanafunzi hawaingii madarasani????we mbulula kwwli Acha ujinga
 
Nani asiibgie darasani kisa yeye???Sie tupo lecture na tunaendelea kama kawaida Hakuna mwanafunzi anbae hataingia darasani kwasababu ya huyu muhuni hata kidogo,
 
Mbona Mnyika anaheshima kitaifa na kimataifa licha ya kufanyiwa unyama huohuo anaofanyiwa Philip?
Your future is just there for you only,no one can take it.
Alluta continua
 
Nyie vitoto, Wazazi wenu waliwapeleka UDOM kusoma na si vinginevyo. Inatakiwa Kabla hujafanya lolote uwaulize wazazi wako maana ndio waliofanya uwe hapo na si vinginevyo. Mambo ya kufuata mkumbo mtakuja kujuta.

kazi ya mwalimu ililwisha pale alipo mfanikishia kupata chuo.mambo megine niyamwanafunzi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom