Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Poleni lakini matokeo ya mgomo ndiyo yako hivyo halafu baada ya hapo watu wanakuambia pole bana usijali mungu yupo tutawasiliana mshua,nazungumza haya kwakuwa yaliwahi kunikuta nikafukuzwa pekee yangu hakuna hata wa kunisaidia kubeba begi hata demu wangu tu sikumuona kuanzia hapo nikajua kumbe unaweza kujifanya kupigania watu kumbe wamekuweka chambo tu likisanuka unabaki mwenyewe sitaki mgomo tena hata uwe wa aina gani sitaki kusikia wala kushiriki sitaki kabisa.