UDOM: Mwakibinga hana kosa, wanafuzi wagoma kuingia darasani mpaka wamuachie huru

Poleni lakini matokeo ya mgomo ndiyo yako hivyo halafu baada ya hapo watu wanakuambia pole bana usijali mungu yupo tutawasiliana mshua,nazungumza haya kwakuwa yaliwahi kunikuta nikafukuzwa pekee yangu hakuna hata wa kunisaidia kubeba begi hata demu wangu tu sikumuona kuanzia hapo nikajua kumbe unaweza kujifanya kupigania watu kumbe wamekuweka chambo tu likisanuka unabaki mwenyewe sitaki mgomo tena hata uwe wa aina gani sitaki kusikia wala kushiriki sitaki kabisa.
 
Du poleni sana....ila uwezekano wa kuwarudisha upo kwa nyie mliobaki kupitia silidarity..
 
Na wewe kumbe ulisoma chuo ? Au ulifukuzwa sekondari ?
 
Taarifa rasmi zinasema uongozi wa chuo kikuu
cha Dodoma (UDOM) umeazimia kumfukuza
chuo moja kwa moja waziri mkuu wa serikali ya
wanafunzi wa college of humanities and social
sciences bwana MWAKIBINGA na kumsimamisha
rais wa serikali hiyo. Maazimio hayo yanafuatia
kikao cha council ya chuo kilichoketi jana jioni.
Wawili hao wanadaiwa kuchochea mgomo
uliotokea jana chuoni hapo. Ikumbukwe kwamba
MWAKIBINGA aliwahi kusimamishwa chuo kwa
kipindi cha miaka miwili kabla ya kuruhusiwa
kurudi chuoni na kuendelea na masomo.
Kazi sana wakuu sio mchezo
 
Ata mimi naamini kupitia SOLIDARITY Watarudi ila kwa UDOM Sidhani.
Du poleni sana....ila uwezekano wa kuwarudisha upo kwa nyie mliobaki kupitia silidarity..
 
da kwa udom sizani coz wanafunzi hawajitambui hata kidogo ni waoga sana so hakuna solidarity hapa chuoni udom
 
Ndoo mshahara wa kuchanganya harakati na elimuu wakafie mitaani
 
Sio udom tu kuna wataalam wa kukimbia wenzao kwenye migomo mzumbe...
 

Nilikuwa Najua Unamaanisha James Rocky Mwakibinga Mwanangu Mwenyewe Na Jembe Langu Ndani Ya CCM.
 
namkumbuka philipo mwakibinga enz hizo udom.alisha kaa miaka miwil nyumban akarudishwa nw amerud tena na.migomo ime resume ni.moja ya watu.majasiri.sana asieogopa kitu japo alishafukuzwa huko nyuma lakin hapend kuona haki.ya mtu inapokwa kudos mwakibinga ipo.siku tanzania nzima itakujua ama kwa hakika jasir haachi asili
 


Mwanamapinduzi na mpigania haki wa ukweli hupigania haki bila kuangalia nyuma yake kuna nani...

Wewe ulishiriki mgomo ukiwa umeingiwa na pepo la mob psychology, hukuwa na hata sasa huna sifa ya kuwa mpigania haki zako mwenyewe, wazazi wako, ndugu zako, jamaa zako na jamii kwa ujumla...

Ni aibu kuhieleza humu kuwa huwezi tena kushiriki mapambano ya kudai haki eti kwa sababu ulifukuzwa pekee yako...

Mandela alifungwa pekee yake, Lwakatale alienda mahabusu pekee yake...

Tafakari...
 
Yaani kuna watu wajinga kweli fateni kilichokupelekeni chuon sio kufanya fanya mambo ya ungese ukifukuzwa mkifukuzwa mnaanza kusema mumeonewa kwenu njaa kali,wazazi wanajitumumua kukusomesha mnaleta ujinga someni siasa baadae alaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…