Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Si kuna visima vilichimbwa kwa wingi sana chini ya usimamizi wa profesa shaban mlacha je havifanyi kazi mkuu?
huyo mleta mada mwongo kwa sababu kwa sasa Udom hakuna shida ya maji nowdays.Labda anaongea historia
Si kuna visima vilichimbwa kwa wingi sana chini ya usimamizi wa profesa shaban mlacha je havifanyi kazi mkuu?
Shida ya maji ipo, acha kupotosha
Hebu niambie kuna block gan hapa haipati maji?ukienda block I mpaka chooni maji yapo.
vp kuhusu hawa madada waanaofuata maji block q na p achen kutetea upuuzi
.........km bidhaa hadimu
maji yakutosha, labda college unayoish au lock, njoo block T uogelee, yanajaa mpaka yanatoka kwa chini
"Udom" ndo kitu gani? Au unamaanisha UDOM? Na neno "hadimu" linamaanisha nini? Ama ulitaka kusema adimu? Wasomi wa siku hizi bwana? Na hili tatizo liko kila chuo, baadhi ya wasomi wetu wa siku hizi ni mbumbumbu kabisaa... Argha.....!Chuo kina matatizo makubwa sana ya maji yaaan imekuwa ni km bidhaa hadimu
Kweli wewe ni Mbwiga, sioni tofauti kati yako na mtoa mada! Sina nasaba zozote na UDOM, ila kauli yako imekuvua nguo wewe mwenyewe!UDOM nacho ni chuo
sijui mleta mada yupo college gani maana hapa education blocks nyingi maji ni bahari kabisa
UDOM nacho ni chuo