Udom na majanga yake

Udom na majanga yake

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
527
Chuo kina matatizo makubwa sana ya maji yaaan imekuwa ni km bidhaa hadimu
 
Si kuna visima vilichimbwa kwa wingi sana chini ya usimamizi wa profesa shaban mlacha je havifanyi kazi mkuu?
 
Si kuna visima vilichimbwa kwa wingi sana chini ya usimamizi wa profesa shaban mlacha je havifanyi kazi mkuu?

huyo mleta mada mwongo kwa sababu kwa sasa Udom hakuna shida ya maji nowdays.Labda anaongea historia
 
Si kuna visima vilichimbwa kwa wingi sana chini ya usimamizi wa profesa shaban mlacha je havifanyi kazi mkuu?

hakuna vitu km ivo ni matatizo matupu maji yanasumbua sana udoso ni km wamesinzia jamani
 
pole sana vijana maana huo msiba wenu hata ss pia shuleni kwetu pia upo
 
Hakuna shda ya maj kwa sasa labda inategemea na college ulypo lakn hapa social hakuna tatizo hlo tena.
 
maji yakutosha, labda college unayoish au lock, njoo block T uogelee, yanajaa mpaka yanatoka kwa chini
 
mie nipo makuti nakula gambe, ila tupo pamoja kwenye mjadala nikitoka naenda kwa big ntamalizia kwa mwafrika. night nazama T maji full naogelea kisha najiachia rum.
 
maji yakutosha, labda college unayoish au lock, njoo block T uogelee, yanajaa mpaka yanatoka kwa chini

sijui mleta mada yupo college gani maana hapa Education blocks nyingi maji ni BAHARI KABISA
 
Chuo kina matatizo makubwa sana ya maji yaaan imekuwa ni km bidhaa hadimu
"Udom" ndo kitu gani? Au unamaanisha UDOM? Na neno "hadimu" linamaanisha nini? Ama ulitaka kusema adimu? Wasomi wa siku hizi bwana? Na hili tatizo liko kila chuo, baadhi ya wasomi wetu wa siku hizi ni mbumbumbu kabisaa... Argha.....!
 
Back
Top Bottom