Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM.
Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu! Wanafunzi ndio wanahangaika kupiga simu chuoni kuwakumbusha watawala kwamba wao ni wahitimu.
Chuo chenyewe hakina kumbukumbu za uhakika juu ya wanafunzi wao. Hawajui nani anastahili kuhitimu au hapana.
Hiki ni chuo kikuu kweli? Wanafunzi wako Mwanza, Mtwara, Kigoma, nk. hawaoni majina yao kwenye wahitimu, lakini wanaambiwa njooni chuoni kwa wakuu wa idara kutatua utata huo. Sijui nani atalipia gharama hizo!
Hiki chuo kinahitaji mwanzo mpya, siyo kuleta watawala wapya. Hali ni ile ile! Kwa hali hii unawezaje kukwepa tatizo la vyeti kwa watu ambao hawakuwahi kuwa wanfunzi wa UDOM.
Watajitetea, but It's just rubbish!!