Belograzov
Member
- Aug 30, 2022
- 11
- 4
Udom wana CIVE,college nzuri sana kwa ICT,ila madudu ya pale ni hatari,hata hayo majina na matokeo yaliyopotea wanayo,si kwamba hawana hata hardcopies.Tangu mwanzo chuo hiki ni shiida tu! Mara ngono hovyo hovyo! Mara vyeti nje nje! mara marks za bura kwa kila mwanafunzi. Baada ya kuzoezwa haya yote, sasa naamini viongozi nao wamefuzu kwa ujinga-jinga, wanajiongeza kazi iendelee! Nao sasa wanaamua wayapendayo.
Nchi hii kwenye ICT bado tuko nyuma sana,bora hapo udom,ukienda SUA hata matokeo hayapo kwenye mfumo,eti wanapeana matokeo kwa kupiga picha,chuo kikuu au genge la wajinga watupu?
Kuhusu UDOM,uongozi wa juu hauko sawa kwenye ufatiliaji wa mambo.