UDOM ondoeni hao ombaomba ndani ya eneo lenu, mnadhalilisha hicho chuo!

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili

Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto wadogo umri 8-12 wakifanyika kama labor power pale UDOM kwenye link niliyoweka hapo juu, sikumuamini kwasababu hakuambatanisha kitu chochote, asa nikaamua niende mwenyewe nikajithibitishie. Si nikawakuta hawa bibi wamekaa kwenye njia za kwenda kwenye cafeteria wakiwategea wanafunzi wanaoenda kula pale.

Issue sio hawa omba omba wala hawana shida yoyote, issue ni kama chuo kikuu cha Dodoma ambacho kinapokea hadi wanafunzi kutoka nchi za nje huku ambao by default wanageuka kuwa mabalozi wa vyuo vetu palewanaporudi nchini mwao, je waanzungumza nini kuhusu vyuo vyetu vya ndani?

Na nadhani ndio cha kwanza kwanza kuwahi kukitembelea Tanzania ambacho ndani ya geti la Chuo wameambatana omba omba. Nimeingia UDSM sijakuta hali kama hiyo, nimeingia MZUMBE sijakuta kitu kama hicho, nimeenda MUST, NIT lakini sijakuta hali kama hii. Sasa ninyi UDOM mnashida gani kuzalilisha vyuo vyetu? mmeshindwa kuwaregulate hao watu alafu bahati mbaya ni watu wazima.

Aisee ninyi mnaohusika na hii Wiazara ya Elimu em, tusafishieni vyuo vyetu, hii ni aibu!

Kwa msiofahamu hapa ni college ya social cafe one au wanapaitaga ATM, ukifika tu hapo utakutana na hawa wabibi, na hapo nimepiga kama sampuli.

1769414015176.png
1769414339595.png

1769414607370.png
 
View attachment 3534565View attachment 3534566

View attachment 3534568
Nikisema wasomi wa Tanzania ni mavi mod wanatamani kunipiga ban ..hapo udom kuna viongozi tenq wana jihita maprofesa ..sasa kama maprofesa wanashindwa kuongoza jambo dogo kama ilo hao ni maprofesa au takataka za chooni tu
 
Hii cafe si ipo barabarani tu kiongozi utakosaje sasa hao watu wakati mji mzima wa Dodoma umejaa omba omba.

Kama walikuwa wanawaruhusu wakae pale TANESCO barabarani jirani na NK kipindi kile na Jamatini stendi ikiwa bado pale na waheshimiwa wanapita kila baada ya sekunde ije kuwa huko social sciences.

Dodoma omba omba ni wengi jamani sijui shida ni nini lakini wengine kweli unaona vyema kusaidiwa maana hali zao ni mbaya sana.Serikali ndio hivyo haina mpango
 
Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili

Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto wadogo umri 8-12 wakifanyika kama labor power pale UDOM kwenye link niliyoweka hapo juu, sikumuamini kwasababu hakuambatanisha kitu chochote, asa nikaamua niende mwenyewe nikajithibitishie. Si nikawakuta hawa bibi wamekaa kwenye njia za kwenda kwenye cafeteria wakiwategea wanafunzi wanaoenda kula pale.

Issue sio hawa omba omba wala hawana shida yoyote, issue ni kama chuo kikuu cha Dodoma ambacho kinapokea hadi wanafunzi kutoka nchi za nje huku ambao by default wanageuka kuwa mabalozi wa vyuo vetu palewanaporudi nchini mwao, je waanzungumza nini kuhusu vyuo vyetu vya ndani?

Na nadhani ndio cha kwanza kwanza kuwahi kukitembelea Tanzania ambacho ndani ya geti la Chuo wameambatana omba omba. Nimeingia UDSM sijakuta hali kama hiyo, nimeingia MZUMBE sijakuta kitu kama hicho, nimeenda MUST, NIT lakini sijakuta hali kama hii. Sasa ninyi UDOM mnashida gani kuzalilisha vyuo vyetu? mmeshindwa kuwaregulate hao watu alafu bahati mbaya ni watu wazima.

Aisee ninyi mnaohusika na hii Wiazara ya Elimu em, tusafishieni vyuo vyetu, hii ni aibu!

Kwa msiofahamu hapa ni college ya social cafe one au wanapaitaga ATM, ukifika tu hapo utakutana na hawa wabibi, na hapo nimepiga kama sampuli.

View attachment 3534565View attachment 3534566

View attachment 3534568
Wanajiendekeza hao mabibi.
 
Hii cafe si ipo barabarani tu kiongozi utakosaje sasa hao watu wakati mji mzima wa Dodoma umejaa omba omba.

Kama walikuwa wanawaruhusu wakae pale TANESCO barabarani jirani na NK kipindi kile na Jamatini stendi ikiwa bado pale na waheshimiwa wanapita kila baada ya sekunde ije kuwa huko social sciences.

Dodoma omba omba ni wengi jamani sijui shida ni nini lakini wengine kweli unaona vyema kusaidiwa maana hali zao ni mbaya sana.Serikali ndio hivyo haina mpango
Wagogo ni jadi yao kuomba, wanapenda sana kuomba.
 
Back
Top Bottom