Udom second years wote mnazungumziaje hii.

sikuwa na maana ya kuwa umekosea. Ni aidha ulikuwa na haraka au ulioverlook or the device you used had no enough facilities to perfom punctuation. Msomi mzima ungeshindwaje kuandika sentensi ndg hivyo? Unapoandika kitu andika ili @ mtu aelewe .
 
Lakini wameelewa ndo mana wamechangia mkuu,

Unajua muda flan tunalazimika kucode switch, na kuharibu rules za grammar ili kuepuka kuandika maneno meengi.
 
hasa kama unatumia simu inasumbua kwa kweli. Nashukuru kwa kuelewa kuwa sikuwa na maana mbaya. Nami nimekuelewa
 
Back
Top Bottom