Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
wewe kichaa wewe acha kubeza vyuo vya watu! Enhe nyie mliosoma kwenye vyuo unavyojua ni vvya maana mmetufanyia nn ktk taifa hili zaidi ya ufisadi?huu uzandiki,upuuzi,uchafu,makapi na aina zoote za usaha peleka kwa demu wako siyo hapa!vijana acheni madharau ya kiji..nga
Chuo kikuu hakifundishi kuandika barua. Mm nimesoma udom niko vizuri tu and am proud of it.
Kama ulipita huko chini kimagumashi usitegemee udom ikafundishe namna ya kuandika barua. Wao watakuelekeza namna na ya kupambana na kuyakabili mazingira. Kuamua na kufikiri kitunduizi.
Ukilaza wa mtu hautokani na chuo alichosoma wapo waliosoma udsm, Makerere lakini kichwani hakuna kitu. Kuna waliosoma IFM wako vizuri mno lakini wengine hawajui hata tanzania ina mikoa mingapi.
Udom ina matatizo kama ilivyo kwa vyuo vingine vya serikali lakini si kama wahuni wachache ambao wanajiona wako vizuri kichwani ili hali maisha yao yako sifuri. Umesoma chuo bora sawa, je elimu yake imekusaidiaje au ndio walewale wa kutembea na bahasha posta na kuilaumu serikali?
Unajifhalilisha we kanjanja maana huyo kaka yako kasoma form 1-6 hajui kuandika barua?? Ina maana alitegemea barua akajifunzie kuandika chuoni?? Hilo Ni janga
Nashangaa watu badala ya kuwajadili wahadhiri kama mada ilivyo, wanajadili wahitimu! Jamani graduate anaweza akafanya mambo ya hovyo au mazuri, hiyo inategem,eana na yeye pia, sio lazima iwe imesababishwa na chuo chake. Mbona Mwigulu hakuna kitu?
Hivi wana janvi kwanini chuo kikuu cha Dodoma huwa wahadhiri wake hawatoi maoni kuhusu mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii?. Kuna maprofesa wengi, madokta wengi na hata wenye masters wengi pia. Je matatizo haya hawa yaoni? Au wanamuogopa Mlacha atawatimua kazi? Au ndio chuo cha kata? Kumbukeni Nyerere alisha sema "chuo kikuu kinacho zalisha watu wasio hoji hakifai kuitwa chuo kikuu bora kikafungwa"!!
Wewe uliye fanya research na credibility zako fanya research ya kukua kwa udini udom au kwa kuwa kiko karibu na pwani? Why not Udsm neither Sua? Fanya credibility zako sasa! Tambua kwamba wasomi wetu hujifanya kila kitu wanajua wao kwa kuwa wana vyeti vingi. Ukiuliza mbona umeme unapaa kila siku utaletewa maneno mengi ya kisayansi mara running costs, mara maintainance costs, mara water supply in power dams na mengine mengi ili mradi utapeli tu. Ndio maana Idi amini dada hakujali usomi wa mtu yeye alijali accountability.
Mi nawafahamu jamaa kibao waliohitimu UDSM,yaani aibu tupu,nitakuelewa kama umesoma ulaya ama Marekani lakini kama unaringia degree ya hicho chuo cha manzese basi huna jipya
Huo udini hapo UDOM pia nazo ni hisia tu. Hakuna mwenye ushahidi kuthibitisha hilo.
Wewe uliye fanya research na credibility zako fanya research ya kukua kwa udini udom au kwa kuwa kiko karibu na pwani? Why not Udsm neither Sua? Fanya credibility zako sasa! Tambua kwamba wasomi wetu hujifanya kila kitu wanajua wao kwa kuwa wana vyeti vingi. Ukiuliza mbona umeme unapaa kila siku utaletewa maneno mengi ya kisayansi mara running costs, mara maintainance costs, mara water supply in power dams na mengine mengi ili mradi utapeli tu. Ndio maana Idi amini dada hakujali usomi wa mtu yeye alijali accountability.
Huo udini hapo UDOM pia nazo ni hisia tu. Hakuna mwenye ushahidi kuthibitisha hilo.
kuna mtu alishawahi kusema kwamba watu wanaiponda udom maana product zake zinabamba vbya.
Huwezi kuwa na akili ukasema eti mtu hajui kuandka barua kwahyo basi chuo alichomalizia ni kibovu.Na isitoshe kitu km hicho ili tukiamini ungeweka na ushahidi wa hyo barua.
Mimi mwenyewe ni product ya Udom lkn kazini nilipo nakubalika sana.Ndugu uzuri wa graduate sio chuo alichosoma bali ni yeye alikuwa anadeal vp na course yake.
Ndo maana siku hzi waajiri wengi wanajali sna uwezo na sio mambo ya Udsm wala SUA.
Mfano mhitimu wa kozi ya ualimu wa Udom na yule wa Udsm wa udom yuko fiti zaid km alikuwa makini.
Udsm tulikuwa tunafanya nao field na vitu vingi walikuwa shallow.Portifolio wanashangaa,lesson plan wanapewa already drafted lkn kuandka vitu km specific objectives issue.
Na udsm kinachoibeba ni product zake za nyuma ila baada ya miaka kama 10 toka leo naona anguko kubwa la vyuo vikuu vya umma kwa vile vya binafsi na wala sio udom tu.
Huwezi hudhuria mhadhara ukiwa dirishani hata mhadhiri humuoni kisa watu nyomi ukategemea effectiveness.
wewe kichaa wewe acha kubeza vyuo vya watu! Enhe nyie mliosoma kwenye vyuo unavyojua ni vvya maana mmetufanyia nn ktk taifa hili zaidi ya ufisadi?huu uzandiki,upuuzi,uchafu,makapi na aina zoote za usaha peleka kwa demu wako siyo hapa!vijana acheni madharau ya kiji..nga
Udom to be honest
academically wako safi, kinacho jadiliwa hapa ni hao wahadhiri wao mbona
wako dormant sana katika kutoa changamoto zinazo ikabili jamii? Mfano
katiba mpya, kupaa kwa bei ya umeme, mfumuko wa bei, matokeo ya kidato
cha pili,mfumo wa elimu nchini. Wengi wa maprof wa udom walikuwa UDSM
tena wakiwa na vyeo sasa whats wrong to them? Wanaogopa? Kanuni
haziruhusu? Wataambiwa wanaleta siasa? Matatizo haya ya kijamii
hayawahusu? Au Mlacha anawapiga mkwara?
Njali tengeneza busara katika hoja, mnaweza fikisha taifa pabaya kwa kutaka kuaminisha kile unachoamini or unachotaka kiwe bila facts, ningependa vijana mjadili mada kwa weledi. comment yako ina mapungufu mengi sana, UDOM ipo karibu na pwani ?
Niwape busara, jifunzeni kutumia social networks vizuri, umejiunga JF tarehe 9th january 2014 mpaka sasa una posts 145 wastani wa 9.. posts per day. account yangu ipo tokea 2011 nna post 38 in 3years, huwa nachangia vitu muhimu tu, hasa kuondoa upotoshaji ili wanaofatilia hizi social networks wasiadhiriwe kimawazo na mtazamo in various issues.
Wacha mapepe bwana mdogo..kubali umesoma chuo cha ajabuajabu sana.. hamna kitu mmepata nyie wa UDOM
Tatizo watu wanachangia bila kujua wanacho changia. Nani kasema udom inatoa product hafifu? Mtoa mada ameongelea ukimya wa wahadhiri wa udom dhidi ya changamoto zinazo ikabili jamii; kama katiba mpya, mfumuko wa bei,kupaa kwa bei ya umeme,ufisadi n.k mtu anakurupuka na product za udom! Are we real great thinkers? Can a great thinker argue contrary to the issue at hand?
Hongera kwa kuwa mchangiaji wa points za msingi tu!! Uwe una edit post zangu kabla sija post huenda elimu yangu haba ndio maana post zangu huzielewi!! Pia soma post humu ndio utaona njali anatoa post zisizo na mlengo bali ni za kweli tupu. Sina ushabiki wa dini, kabila wala chama niko fair kabisa. Kama ni kusoma nimesoma udom pia, hivyo i'm sure with what i say.
Safi njali, Sasa umekuja vizuri, kuna comment yako flani ndani ya hii topic umeeleza academics na participation in public affairs iko safi sana, haya ndo matumizi mazuri ya networking.
In a brief view regards to your Topic, Academic staff wa UDOM 70% walikuwa Junior chuo kilipoanza .. yaani not PHd holders, recently wamesomesha sana, Kuna Masters degree and PHD candidates wengi wamemaliza masomo, wale waliokuwa PHd holders wengi wana managerial role ndani ya UDOM, sasa kwa situation hii umekuwa huoni public lecture ,pia miundombinu ya Dodoma na Media zetu nadhani unajua ziko Dar es salaam zaidi. Yapo machache waliyofanya hayakupata publicity yakutosha, siku zinavyoenda tunataka kuwaona hawa academician wapya kutoka UDOM waki envolve in public lecture and host debates.. hii ni changamoto kwao, pia media zifunguke, ziweze ita guest kutoka various institutions na coverage iende mikoa mbalimbali (mobile studio). Kwa haya machache, Mimi na wewe njali tuwape mda tuone involvement in public responsibilities from UDOM. let us be positive about this