Udom udom udom

Udom udom udom

Hivi wewe umesoma chuo gani waliokufundisha kuandika neno "mwajili", peleka ukilaza wako mbele na gentmn yako.

labda kasoma bachelor of science in applied physics? Wao wako busy na kudrive mafomula mambo ya punctuation si issue kwao!! Kuna jamaa yangu pcm yeye aliwahi kunichekesha alipo tunga mtihani ameandika kichwa cha habari ministry in educative and infrastructure! Staff nzima walicheka baada ya kubaini hilo, mkuu akasema muacheni hawa watu wana mambo mengi kichwani hajui hata wizara.
 
Hivi wewe umesoma chuo gani waliokufundisha kuandika neno "mwajili", peleka ukilaza wako mbele na gentmn yako.

!
!
mie ni form four tu kaka ila najielewa kuliko wahitimu wengi wa udom japo sio wote wa udom.....kama chuo kikuu mko katika hali hii nadhani haina haja ya kusoma.
 
4m 4 ww utakuwa wa div 5 sio bure.

!
!
by the time ilikuwa haipo division five bana, ilikuwa mwisho ni zero na ulikuwa hupati cheti, na mie sikupata Zero mkuu. Nina cheti cha form four na ndicho kinanipa kula mjini hapa, shwaini wewe!
 
!
!
samahani lakini,ila wawakilishi wenu huku mtaani ni majanga. Nilikuwa na demu wangu huko,na yeye duh kumkichwa ni sifuri ila nae kahitimu eti. Dah......hivi wanafundishaje pale!au mitihani hakuna imefutwa?mh

huyu demu wako ndo mbumbu huenda alikuwa anatumiwa na mkufunzi ili afauru mitihani lakini siyo wote wanamaliza pale wako hivyo
 
ivyo vyuo mnavyo visifia ..majanga tu ma lecturer wa udom wengine waliotoka mzumbe hawana maadili..na wanafundisha ovyo sana hamna jipya copy na kupaste vitiny tu na kutumezesha .wengine wameendekeza uzinzi ie hawana maadili eti wamesoma BAF...so is that what they were taught at mzumbe shame shame shame..wengine wa udsm ata lugha ni shida cv zina soma gpa za 4.0 with honours.....but to be honest wapo ma lecturer wengine very smart from these universities.
but very few.
 
nafurahi sana kuona udom inajadiliwa kila wakati! yani kuna watu wame-fall in love na udom kiasi cha kupata ugonjwa wa mapenzi uitwao 'hysteria' na kuwapelekea kutamka udom udom udom udom bila kujitambua. asanteni kwa kutufanya maarufu m2letee watoto wenu 2wapge shule. nasema tena asanteni mungu awabariki!
 
Hawa jamaa wana akili sana hawawezi kuchanganya siasa na taaluma zao. maana sasa hiv mambo yote ya kijamii yanausiasasiasa tu hata kama hayahusiani na siasa lakin mtu atayafanya yawe ya kisiasa hii ni nonesence.
 
Ivi nyie mnaobishana khs chuo hiki bora na kile si bora are u real intelligent? Issue hapa, assess ua competence in perfoming activities... If ua incompetent means ni tatizo lako binafsi..! Achen utoto.
 
nafurahi sana kuona udom inajadiliwa kila wakati! yani kuna watu wame-fall in love na udom kiasi cha kupata ugonjwa wa mapenzi uitwao 'hysteria' na kuwapelekea kutamka udom udom udom udom bila kujitambua. asanteni kwa kutufanya maarufu m2letee watoto wenu 2wapge shule. nasema tena asanteni mungu awabariki!

Hahahahahahahahahahahahaha,hakika wewe ni GREAT THINKER
 
nafurahi sana kuona udom inajadiliwa kila wakati! yani kuna watu wame-fall in love na udom kiasi cha kupata ugonjwa wa mapenzi uitwao 'hysteria' na kuwapelekea kutamka udom udom udom udom bila kujitambua. asanteni kwa kutufanya maarufu m2letee watoto wenu 2wapge shule. nasema tena asanteni mungu awabariki!

hahahaha hy nzur nmeipenda
 
!
!
udom ni chuo kikuu kumbe?!
nilijua ni sekondari maana wanaomaliza pale,duh!
kuna barua ya hro wangu amemaliza hapo natamani kuattach barua yake aliyoniandikia muda mrefu lakini naogopaogopa. Siku nikichukia nitaituma humu.
Udom ni bomu kabis@
mi nnachojua chuoni hakuna mtu wa kukuelekekeza ka mwanafunz wa primary....kama hao unaowajua walikuwa hawajishughulish lazima waonekane vilaza....hapo hutakiw kulaumu chuo wapaswa kumlaum huyo mwenye tatizo.....hivi ukiwa na wanafunz 1000 unategemea wote wawe wanaweza lazima kuna vilaza kama huyo ndugu na mkeo....kabla hujapost upumbavu tumia akili japo kidooooogo.
 
nafurahi sana kuona udom inajadiliwa kila wakati! yani kuna watu wame-fall in love na udom kiasi cha kupata ugonjwa wa mapenzi uitwao 'hysteria' na kuwapelekea kutamka udom udom udom udom bila kujitambua. asanteni kwa kutufanya maarufu m2letee watoto wenu 2wapge shule. nasema tena asanteni mungu awabariki!

umeona eeh wanatamani wangesoma udom but ndo hivyo hawakufanikiwa.....
 
mi nnachojua chuoni hakuna mtu wa kukuelekekeza ka mwanafunz wa primary....kama hao unaowajua walikuwa hawajishughulish lazima waonekane vilaza....hapo hutakiw kulaumu chuo wapaswa kumlaum huyo mwenye tatizo.....hivi ukiwa na wanafunz 1000 unategemea wote wawe wanaweza lazima kuna vilaza kama huyo ndugu na mkeo....kabla hujapost upumbavu tumia akili japo kidooooogo.

!
!
Na wewe utamlaumu nani sasa?. Matumizi ya alama sifuri kabisa, Kiswahili chenyewe cha kuungaunga. Ila inawezekana mrembo kama darasa lina wanafunzi 1000, tutegemee nini?
Mrembo wa Afrika!teh teh teh teh. Usikute uko kaMA gimbi.
 
Back
Top Bottom