Kama nnakuona vile unavyotoka povu kwa issue ndogo kama hii, leo jumapili dada nenda kafanye usafi kidogo achakukaa na kubishania ujinga kwenye mitandao ya kijamii. Wanaume zenu wakiwapiga chini, mnaanza kulialia na kutoa vilaana visivyokuwa na msingi. Nenda kafue nguo, kama ulishafua, basi kapige deki, au hata panda maua basi, siyo unakaa unajibweteka kubishana vitu visivyokuwa na maana kwenye mitandao unamuachia binti wa kazi shughuli. Kuendelea kubishana bishana hapa unaendelea kujifunua na kuacha watu waone mapungufu uliyonayo.
Dada mbona unamihemko sana ukisikia jina la SUA au una akshi-majinun?narudia tena SUA hakuna upumbavu kama huo,kama wewe ulisoma Chuo cha kata na unafananisha tabia ya Chuo chako cha kata na vyuo makini vingine kama SOKOINE UNIVERSiTY OF AGRICULTURE usimlaumu mtu,jilaumu wewe mwenyewe kwa ukilaza wako uliokufanya ukose sifa za kujiunga na Vyuo makini kama SUA mwishowe ukajiunga na Vyuo vya kata.
Are you possessed with evil spirits?naona umekuja na I'd nyingine nenda mirembe we mpuuzi unawaza mume tu dume zima we ni gasho nini? Nabishana nitakavyo mana Mb ni zangu nafanya nitakacho we ni nani wa kunipangia cha kufanya. Nitolee ashuo zako zisizo na mbele wala nyuma mada si hyo unapaniki nini utafikiri unawashwa huko tunduni. Yani wewe akili yako bora hata ya mdudu unawaza eti kupika kufua shame on your ugly face mxiiiiiiiiiew tena unikome I'd yako tu inasadifu ujinga kichwani mwako. Tena unikome kabisa mana unaandika matope tu ushirikishe akili yako mana unataka kuharibu topic hapo. Tena mxiiiiiiiiiiiwe chefyueeeeeeee koma kuni quote kama unaandika upuuuzi jitu zima hovyooo.
Kwanza umejifanya nawe mwanafunz wa Udom then umeukana uwanafunz wa hapo.. Anyway, hakuna kitu km hicho labda ni uzembe wako au wa aliyekusimulia!!
Ha ha ha ha, kama nakuona vile ulivyojimanua hapo, huku unaandika kwenye kasimu kako ulikopewa baada ya kupigwa nanii, ha ha ha. Mwanamke gani mwenye akili ataamkia kwenye mitandao ya kijamii na kubishania ujinga. Nyie ndo wanawake mizigo nyie, hivi wewe ukiwa na watoto utakuwa na muda wa kuwaangalia wewe, au utakuwa unashinda kutwa umejimanua kitandani na kubishana kwenye mitandao ya kijamii. Maana najua hapo ukitoka JF, umeingia Insta, then FB, then Wsap. Maana kwa personality niliyo ideduce kwako yaonesha ni mtu wa league za kijinga. Haya dada, wewe endelea kuianika hiyo, ipigwepigwe upepo hapo huku unaendelea kupost kwa kuandika ukiitumia hiyo hiyo badala ya kutumia ubongo. Poleeeeeeee...

hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa
Sio udom tu kuna mdogo wangu anasoma MOCU zamani Muccobs anasema kuna lecturer mmoja aliyepewa uproffessor hivi majuzi anaitwa Magigi. Unaambiwa yeye ana kitabu chake cha research na project planning na kila mwaka anatoa new edition so huwezi kutumia cha mwaka uliotangulia....ukitaka usitoboe acha usinunue kitabu maana nasikia hata class hutapewa nafasi ya presentation. Kwa kweli huu ni ujinga uliopitiliza kwa wanafunzi wa elimu ya juu kufanyiwa mambo kama haya.
Hivi wewe mwanaume jina na suruali umetumwa kwangu eeh hata nikikesha wewe uko nyuma kwa kuwashia nini mpuuzi usiye na haya.
Jibu kulingana na mada sio kukurupuka maisha yangu hayakuhusu niende insta nikeshe jf haikuhusu ningekua nakeshea kibamia chako ungeniuliza.
Mwanaume mzima kuwa mbea kuishi kwa hisia ka mwanga vile nitolee ujinga wako kichwani hamna kitu zaidi ya kuwaza nonsense na Ku guess tu. We ka ushindi jf umejuane nakesha unahitaji kukunwa eeeh uniache hivo visheria vyako vya kijinga peleka huko kwenu hili ni jukwaa guru Fanya yana kuhusu msengerema mkubwa wewe .Hizo bangi na viroba unavokunywa vimekuharibu akili zero brain wewe. Na wewe endelea kukianika kibamia chako baadaw ukaogelee kwenye dimbwi lako. Dume zima hovyo mbea kulikoni wanaoenda mwezini. Unikome kabisa my life my choice mind ua business Mr kibamia ndio kinachokuhangaisha medu Dada wewe.
Ha ha ha ha, duh JF imeingiliwa now. Ha ha ha, Kalale usiku ufanye kazi bint, maana naona unaendelea ku expose your serious problems.
Kweli wewe mwanaume jina na suruali we umeshindwa kwenda kulala baadae ndo ukawauzie wanaume wenzako rijali maana we si riziki.Jf na machoko ka wewe badala ya kudiscuss topic unaleta personal attack zako lione vile dume zima hovyo. Kawaida ya wanaume vibamia huwa ni kupiga kelele ka mbwa mkoko mana kazi hamjui. Mwanaume kamili hana mda wa kumfatilia mtu Jf anafanya yake unikome ka ulivo koma ziwa mxieeeew.
Ha ha ha ha, pole zako
Pole kawape wa huko kwenu sihitaji pole ya jini kashkashi Mimi hunijui, sikufahamu Fanya yanayokuhusu Jf niache na yangu nikome kabisa.
Join Date : 6th March 2014
Posts : 4,595
Rep Power : 172062347
Likes Received1819
Likes Given5600
Tanzania hatuwezi kuendelea kwa staili hii, halafu unakuta mtu analalamika ati kazi hakuna na anataka aajiriwe. Atakaeajiri mtu kama huyu kapata hasara kubwa sana.
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa
Join Date : 6th March 2014
Posts : 4,595
Rep Power : 172062347
Likes Received1819
Likes Given5600
Tanzania hatuwezi kuendelea kwa staili hii, halafu unakuta mtu analalamika ati kazi hakuna na anataka aajiriwe. Atakaeajiri mtu kama huyu kapata hasara kubwa sana.
Do not use the fallacy of generalization mdogo wangu. Si kila lecturer anauza notes....TlA lecturers wanauza notes ... Usipo nunua shauri yako ..