UDOM wanafunzi wageuka mtaji

UDOM wanafunzi wageuka mtaji

Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.

Unamaanisha nini unaposema "Lecture"?? au unadhan " Lecturer " na "Lecture" ni sawa??
 
Unamaanisha nini unaposema "Lecture"?? au unadhan " Lecturer " na "Lecture" ni sawa??

Samahani wakuu et RPL inajumlisha na wenye certificate kuomba bachala? mfano certificate in general agriculture kuomba sua
 
Are you possessed with evil spirits?naona umekuja na I'd nyingine nenda mirembe we mpuuzi unawaza mume tu dume zima we ni gasho nini? Nabishana nitakavyo mana Mb ni zangu nafanya nitakacho we ni nani wa kunipangia cha kufanya. Nitolee ashuo zako zisizo na mbele wala nyuma mada si hyo unapaniki nini utafikiri unawashwa huko tunduni. Yani wewe akili yako bora hata ya mdudu unawaza eti kupika kufua shame on your ugly face mxiiiiiiiiiew tena unikome I'd yako tu inasadifu ujinga kichwani mwako. Tena unikome kabisa mana unaandika matope tu ushirikishe akili yako mana unataka kuharibu topic hapo. Tena mxiiiiiiiiiiiwe chefyueeeeeeee koma kuni quote kama unaandika upuuuzi jitu zima hovyooo.

Sijawahi ona Mdada anabishana jf jukwaa la elimu ila dipher beyond ndo wa kwanza.
 
Mkuu, ukifeli unarudia mtihani siyo semister(unasup) na ukifeli sup- una carry somo, siyo kurudi nyumbani. Au Labda kama unavyosema elimu ya siku hizi.

mkuu mi nakuambia hivyo nina msela wangu tayari yuko home. waliambiwa kurudia semister nzima yeye hakuwa tayari. na ndio kwanza first year.
 
Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.
Sio KWELI.
 
hivi najiuliza huu utaratibu wa kila mwl kuingia drsn nakutangaza kuwa lazima ununue kitabu chake km hununui ye ndo ana degree yako upo udom tu au vyuo vyote tz na je haki elimu hmuna maspy hapa udom inakela sana tena sana nanyi wanafunz wa udom mkitishiwa tu munabak kulialia amken nyie co shamba la bibi sawa
Sasa mkuu ulitaka upewe kitabu bure? ela ya stationary unayopewa unapeleka wapi?? au unadhani mlipopewa pesa ya stationary ni ya kununulia maspika, iphone, kuuzia sura bar na kuhonga!!! tena shukuru mungu mnauziwa na vitabu, acha lawama wewe kijana soma!!!
 
Ushawahi kusoma SUA?

We unafikirije labda kwahyo SUA wanasingiziwa eeh nakuonewa kwa mtazamo wako naona sina mda wa ligi zisizo na kichwa wala miguu. Mimi mana wote mnatetea nakubisha sasa mnataka nini labda ningeweka majina na masomo ya wanaonunupishwa ila naacha sitaki ligi Mimi badala ya Ku argue.
 
We unafikirije labda kwahyo SUA wanasingiziwa eeh nakuonewa kwa mtazamo wako naona sina mda wa ligi zisizo na kichwa wala miguu.
Nani anataka ligi? na kwanini tutake ligi hasa?


  • Mimi mana wote mnatetea nakubisha sasa mnataka nini labda ningeweka majina na masomo ya wanaonunupishwa ila naacha sitaki ligi Mimi badala ya Ku argue.​



Bado hujajibu swali langu, ushawahi kusoma SUA?
 
Sio kweli mkuu mimi ni mwana udom naxoma coes,, nikweli walimu huwa wanauza vitabu kununua au kutonunua ni maamuzi ya mtu na wala hulazimishwi,uwoga wa watu fulani huwafanya wanunue na wabishi tunao komaa na liblary tunaviona hivyo vitabu kama ni summury tu!!!! Usi generalize kitu ambacho huna uhakika nacho,,,unachafua chuo chako!!?? Xaxa hv utaletewa kashfa!!!
 
Weka ukweli wako basi tuuone
Ina maana naisingizia Sua ili iweje Akina profesa Abood na baadhi ya masomo nitaweka hapa wote.

wewe story za udsm, sua na udom unazijua zote!mbona hueleweki au umesoma kote huko ukawa unahama?
 
Back
Top Bottom