Udsm hamna kitu kama hicho kununa kitabu ili ufailu.Sua nao wanatabia kama hiyo sasa sijui wanafunzi kila semister utanunua vitabu vingapi. Maana stationary allowance tu yenyewe huwa haitoshi kutolea madesa sembuse kununua vitabu. Inabidi mjiorganize mumugomee kununua bila hivo mtaumia wenyewe.Hafu kwanini msiwe mnaingia baadhi ya website mnadownload vitabu wenyewe.Hafu huyo lecture kawafanya mtaji mana ma lecture huwa wana password ya kuwa na free access Ku download na kuwatumia soft copy kuliko kununua kitabu.
Unamaanisha nini unaposema "Lecture"?? au unadhan " Lecturer " na "Lecture" ni sawa??