Aisee..Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna.Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya.Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake.Nimeumia sana sanaaa.Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi.MIMI NIMEMWACHIA MUNGU,ATANITENDEA.NA AMEANZA KUNITENDEA.
Tabia hii ipo sana sanaaa
Source: mange kimambi instergram, nenda kaangalie hadi video
Wa upande wa Economis nini?Kuna mmoja hapa udsm coss anawamung'unya balaa
Degree za Tanzania?Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa. Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.
Tabia hii ipo sana sanaaa
Source: Mange
View attachment 1988796
Mkufunzi akiwa red handed katika maandalizi ya kula mchebwede!Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa. Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.
Tabia hii ipo sana sanaaa
Source: Mange
View attachment 1988796
Za mwizi 39Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa. Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.
Tabia hii ipo sana sanaaa
Source: Mange
View attachment 1988796
Mshana, ulisoma Udom?Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.