UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.

Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.

Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.

Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.

Tabia hii ipo sana sanaaa

Source: Mange

View attachment 1988796
Kama ni kweli, wasomi wa namna hii ni wa kufunga na kufungia wasijishughulishe na kutoa elimu. Huu ni ushahidi kuwa mkufunzi na mwanafunzi wote ni vilaza wanaopaswa kufungwa vilivyo ili liwe somo tosha kwa wengine. Msomi wa kweli hana haja ya kutaka favour toka kwa wanafunzi wake wala nao hawana haja ya kuwa favoured ili wapite.
 
Assignment hufanyi, test 1 na 2 jumla una 6, quiz hufanyi, lab report mbovu, CA ya 16, UE unapata 10,, matokeo yanaoka una supp, unanipigia simu nikusaidie na unajijua ni pisi kali,, pesa ya kunipa yenyewe huna,,, unategemea nn?? Nkuache?? Wewe kama nan?
Alafu awe na chura

Utamuachajeee


Ova
 
kama sup ni below 50% na wewe marks zako zinachezeaga kwenye mstari hapo 51/50/55/49/ nk halafu ndio vile tena umeumbika unategemeaga huruma utoboe lazima uliwe tu..

jaribu kuwa unapataga 75/80/85/90/95/100 halafu huyo mkufunzi kama atakusumbua...
Dawa ya hao wakufunzi ni kusoma kwa bidii tu mwanzo mwisho na kupata mark za juu sana utakuwa safe..
 
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.

Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.

Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.

Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.

Tabia hii ipo sana sanaaa

Source: Mange

View attachment 1988796
Mbona hujaweka sura halisi ya huyo mbaya wenu.
Ikiwekwa tu, kazi hana.
 
Wengi waliotongozwa na lecturers nimeona hawana msimamo. Yani kamsimamo kadogo tu na kusoma kwa kawaida kunatosha kumfanya lecturer anywee. Pisi kali ndio zinazembea zikitarajia mserereko kwenye matokeo

Mdada anayesoma vizuri na hapati sup, hata akipata anasoma achomoe hawezi tongozwa ili afaulishwe labda atongozwe kibinadamu nje ya kazi. Sasa hasomi alafu akifeli anampigia lecturer anasema "nisaidie" kuna msaada gani. Wanaume wanakomaa wanafaulu sup au wakiona tia maji wanamtafuta lecturer na kuweka pesa. Hakuna chuo hakihongwi, wanahongwa wa CAG, Mwendesha Mashtaka na TAKUKURU sembuse wakufunzi

Sasa kuna lecturers hawajui kutongoza wanaforce hao tunawajua. Atajifanya hajajaza marks bahati mbaya, mara haoni marks, tushamaliza UE anaita watu sijui kuna makosa gani. Hao nao ukiwatishia nyau hawana janjajanja ila kuna waliopinda zaidi, hawa wanahitaji kamati za roho mbaya kama hii
 
Hataki kuliwa akeshe venue apate CA kubwa apasue UE basi,, sitakuwa na muda nae,

hata kama ntakapenda basi ntakatongoza nje ya chuo kama watu wawili tofaut,, ulekcha na uanafunzi ni chuo,, nje ya hapo ni mtu na mpenziwe
Kweli kabisa

Ova
 
Sasa Kama walim ripot kabla itakuwa vyema kwa maana ya kutengeneza chain ya uchunguzi
 
Hawa ndio wanaosifika kwa kujitamba mbele ya wanafunzi wakiwaambia "tumebeba degree zenu", "ukiingia 18 zangu huchomoki", n.k

Wengine hutumia nguvu hii kubwa waliyonayo kutuliza tamaa zao za miili kwa kuwapiga pini kwenye mitihani mabinti, hapo akimfelisha mtihani, atamwomba binti washiriki ufuska ili amfaulishe kwenye mitihani ya marudio (sapu) lasivyo taabu iko pale pale.

Wengi hata wakikamatwa wanaishia kuonywa au kupunguzwa tu madaraja na hizi stress wanazipunguzia kwenye kuongeza kasi ya kuufanya huu ufuska wa kuwatega mabinti wa vyuoni

Kwa hali hii, hawa watu ndio wanaaminisha kwa vitendo ile kauli "mke hasomeshwi", Hata wenye wapenzi huko chuoni nao roho zinakuwa juu wanawaza ni vipi itakuwaje lecturer akimtamani? kuna usalama hapo? atachomokaje kwa mfano? kiukweli inaleta msongo wa mawazo.

Nchi imepata raisi wa kwanza mwanamke, raisi wetu mara kwa mara bila kificho amekuwa akiweka wazi kuchukuzwa na unyanyasaji wa kijinsia, Ikipendeza naomba huyu aende jela kwa kesi ya ubakaji, sio zile sinema za kushushwa daraja, kuhamishwa chuo au kufukuzwa kazi, Hapana!! inabidi aende jela huyu ni mbakaji!!

IMG_20211028_024120.jpg
IMG_20211028_024117.jpg
IMG_20211028_024108.jpg
 
Inasikitisha.
Lazima atakuwa mpare huyo.
Kuhusu kabila hilo halipo relevant na hii maada, haijalishi ni masai, mmakonde, mnyakyusa, n.k kwa huu uhuni wanaofanya inabidi waanze kutumikia vifungo vya miaka 30 jela.
 
Back
Top Bottom