Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hiyo room ya nani? Lecturer amekwenda kulala kwa mwanafunzi wake? Kweli taaluma ya ualimu imevamiwa!!Hawa ndio wanaosifika kwa kujitamba mbele ya wanafunzi wakiwaambia "tumebeba degree zenu", "ukiingia 18 zangu huchomoki", n.k
Wengine hutumia nguvu hii kubwa waliyonayo kutuliza tamaa zao za miili kwa kuwapiga pini kwenye mitihani mabinti, hapo akimfelisha mtihani...