UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

Hivi vyuo hata vikifungwa tu kwa muda, kwanza havina msaada wowote🐒
 
Moja ya mambo ambayo namshukuru Mwenyezi Mungu ni kutonipa fursa ya kuwa lecturer...

Tuacheni masihara jamani... watoto wa chuo wana raha yake nyinyi!!

Yaani hapa nimepanga nikipata pesa tu, lazima nijenge hostel! Sema hadi sasa bado naumiza kichwa nitumie gia gani ili iwe ni hostel kwa watoto wa kike tu!

Hivi kwa mfano najenga visanamu vya madushe kuzunguka hostel, watoto wa kiume si watakimbia hapa?! Sema nami ndo nitatafsirika vibaya sasa!
 
Degree za wanawake waliosoma bongo/east africa huwa nazitiliaga shaka san
Mchezo huu upo sana Local Goverment insitute Hombolo Dodoma. Vibinti vinamaliza form four vinakwenda three year pale ili vifaule kwenda Degree . Yanayofanyika Hombolo mungu ndiye anayejua
 
Kesi kama hizo na ulivyosema scenario zinakuwa hivyo hivyo ila dada akikomaa hasumbuliwi. Papers za test zinatunzwa, marks zikikosewa zinarekebishika, asipojaza anapewa evidence...
Toka nasoma primary hadi university sijawahi ona/sikia msichana mwenye uwezo darasani akilalmika kusumbuliwa na mwalimu. Ila wale vilaza sasa!!! Mara mwl ananitaka mara nimetongozwa na yule kwanini nyie tu?
 
Mchezo huu upo sana Local Goverment insitute Hombolo Dodoma. Vibinti vinamaliza form four vinakwenda three year pale ili vifaule kwenda Degree . Yanayofanyika Hombolo mungu ndiye anayejua
Shida hata kuripoti kwenye mamlaka husika hamjui. Mwisho inakua kama majungu hivi
 
Toka nasoma primary hadi university sijawahi ona/sikia msichana mwenye uwezo darasani akilalmika kusumbuliwa na mwalimu. Ila wale vilaza sasa!!! Mara mwl ananitaka mara nimetongozwa na yule kwanini nyie tu???
Unamuuliza nani sasa we Mgogo??
 
Nadhani huu ni utamaduni uliokubalika.

Hakuna sehemu watu wanajipakulia vya motomoto kama Mlekchara na wakufunzi wa vyuo.

Kule huwa hakatizi mtu. Kuliwa ni kama sheria.
 
Toka nasoma primary hadi university sijawahi ona/sikia msichana mwenye uwezo darasani akilalmika kusumbuliwa na mwalimu. Ila wale vilaza sasa!!! Mara mwl ananitaka mara nimetongozwa na yule kwanini nyie tu???
😂kwani hujui vilaza ndio wazuri,na walimu wanaona hilo
 
Assignment hufanyi, test 1 na 2 jumla una 6, quiz hufanyi, lab report mbovu, CA ya 16, UE unapata 10,, matokeo yanaoka una supp, unanipigia simu nikusaidie na unajijua ni pisi kali,, pesa ya kunipa yenyewe huna,,, unategemea nn?? Nkuache?? Wewe kama nan?
Hyo sio excuse ya kumlala mtu, na hii rushwa inakuwepo vile wahadhiri Wana power ya kukufelisha au kukufaulisha na watu hufanya assignment zote ila vile mfumo dume wanaume hulindana na ku disco wanafunzi.

Nilishihudia hii case ila chuo kikamlinda huyo lecturer in short nyie wahadhiri msitumie power zenu za kufaulisha kunyanyasa wanawake kingono
 
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.

Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.

Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.

Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.

Tabia hii ipo sana sanaaa

Source: Mange

View attachment 1988796

View attachment 1989174
ukimegewa dem wako naww tafuta mnyonge ummegee, hat ukiumia haisaidii kilatu anamegewa hata matajiri wanamegewa
 
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.

Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.

Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.

Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.

Tabia hii ipo sana sanaaa

Source: Mange

View attachment 1988796

View attachment 1989174
David Mwakapala na Sifuni Mchome nao wameacha kuwatia madem pale department of accounting?
Ila Udom mademu wanapigwa pumbu na maticha live yani, as if imehalalishwa.
 
Niliwahi kumsikia simbachawene akisema wanaopanga fumanizi wanavunja sheria, sasa wewe na wenzako mlio post hamjui kwamba mmevunja sheria kwa ku-post faragha za watu? hao ni watu wazima kama kuna mazingira ya rushwa lazima watu wa takukuru na polisi wahusishwe........
 
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.

Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.

Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.

Kuna uzi niliuweka humu pia UPDATES yake nimeiweka juzi. MIMI NIMEMWACHIA MUNGU, ATANITENDEA NA AMEANZA KUNITENDEA.

Tabia hii ipo sana sanaaa

Source: Mange

View attachment 1988796

View attachment 1989174
Safi kabisa na mange ameruka nayo hii issue safi sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmoja uyo wa MUCO alitaka kuleta story za kijinga kwa dem wa rafiki yangu. Alichokipata sidhani kama atarudia tena huo mchezo
 
Back
Top Bottom