Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni moja ya watu wapumbavu sana!.Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye huyo mkufunzi wake. Nimeumia sana sanaaa.
Sio mm nnayependekeza hcho kitu,, yaaan always mwanafunzi ndo hupendekezaLazima umbeto sio?
Miss hakuna lecturer mwenye uwezo wa kukufelisha chuo it's just wengi hamjui nini mfanye after hicho kitu ambacho kesi yake ni "sexual harassment"Hyo sio excuse ya kumlala mtu, na hii rushwa inakuwepo vile wahadhiri Wana power ya kukufelisha au kukufaulisha na watu hufanya assignment zote ila vile mfumo dume wanaume hulindana na ku disco wanafunzi.
Nilishihudia hii case ila chuo kikamlinda huyo lecturer in short nyie wahadhiri msitumie power zenu za kufaulisha kunyanyasa wanawake kingono
David Mwakapala na Sifuni Mchome nao wameacha kuwatia madem pale department of accounting?
Ila Udom mademu wanapigwa pumbu na maticha live yani, as if imehalalishwa.
😁😁😁😁😁😁😁😁Huyo mwalimu aadhibiwe vikali sana, anakulaje pisi mbovu kama hiyo? Hayuko serious
Mlimfanye tupeane uzoefuKuna mmoja uyo wa MUCO alitaka kuleta story za kijinga kwa dem wa rafiki yangu. Alichokipata sidhani kama atarudia tena huo mchezo
I think kila chuo kihakikishe policies zake juu ya unyanyasaji huu wa kijinsia zinaeleweka kwa wanafunzi wote wa kike, kuwe na clear guidelines za steps to follow endapo mwanafunzi ataexperience unyanyasaji,hii iwe reinforced mara kwa mara mpaka kuwe na level fulani ya confidence yaani hawa wasichana wawe na confidence in the system, kuwa ipo kuwalinda,na wanaotunga hizo policies wawe na confidence kuwa hizo guidelines zinafanya kazi intended to do yaani kuwa protect watu vulnerable....chuo kinaweza kuwa na different strategies kama whistle blowers, kuwe na box la maoni au number ya simu ku report hayo yanayotendeka,Miss hakuna lecturer mwenye uwezo wa kukufelisha chuo it's just wengi hamjui nini mfanye after hicho kitu ambacho kesi yake ni "sexual harassment"
Most of u mna fight those battles alone,, shirikisha mtu, hata kwa dean wa faculty yako nenda kamwambie,,
Ukiona dean naye haeleweki nenda polisi dawati la jinsia watakusaidia sana ila make sure una solid evidence,, na wengi hamjui kusema "NO"
Msemo ni ule ule "wanna free ride? U have to ride it"
Ukifeli lecture hana msaada wowote maybe akuhurumie sanaaa akupe make up test ila other than that hakuna msaada legally,,,
Ila if u wanna ride it backwards ( njia ambayo wazembe wengi wanaipenda ) then u have to deal with dizziness and throwing up
Hizo case huisha juu kwa juu mzee usifikirie watu wajingaMiss hakuna lecturer mwenye uwezo wa kukufelisha chuo it's just wengi hamjui nini mfanye after hicho kitu ambacho kesi yake ni "sexual harassment"
Most of u mna fight those battles alone,, shirikisha mtu, hata kwa dean wa faculty yako nenda kamwambie,,
Ukiona dean naye haeleweki nenda polisi dawati la jinsia watakusaidia sana ila make sure una solid evidence,, na wengi hamjui kusema "NO"
Msemo ni ule ule "wanna free ride? U have to ride it"
Ukifeli lecture hana msaada wowote maybe akuhurumie sanaaa akupe make up test ila other than that hakuna msaada legally,,,
Ila if u wanna ride it backwards ( njia ambayo wazembe wengi wanaipenda ) then u have to deal with dizziness and throwing up
Hahaaa eti hamna lecturer anayeweza kukufelisha, wakati tuko kwenye topic Jamiiforums lecturer kashakamatwa huko na ki boxer/kichupi chake.... typical men! Hata umkute juu ya mwanamke mwingine atakuambia sio yeye Bali ni mtu mwingine lolHizo case huisha juu kwa juu mzee usifikirie watu wajinga
Hizi mambo zipo na mimeshuhudia kabisa sasa wanaume humu wanateteana, nimeona Hadi clip ya huyo lecturer akiwa guest huko live bila chenga. Udom wamemusimamisha inatakiwa afungiwe kabisa kufundisha hafai huyoHahaaa eti hamna lecturer anayeweza kukufelisha, wakati tuko kwenye topic Jamiiforums lecturer kashakamatwa huko na ki boxer/kichupi chake.... typical men! Hata umkute juu ya mwanamke mwingine atakuambia sio yeye Bali ni mtu mwingine lol
Hahahahaaaa wewe jamaa banaMamaee zao kuna mmoja Yuko COED ansitwa MBAULA yule jamaa ni nyoko. Halali bila ya mwanafunzi
Una uhakika??Hahaaa eti hamna lecturer anayeweza kukufelisha, wakati tuko kwenye topic Jamiiforums lecturer kashakamatwa huko na ki boxer/kichupi chake.... typical men! Hata umkute juu ya mwanamke mwingine atakuambia sio yeye Bali ni mtu mwingine lol
Assignment hufanyi, test 1 na 2 jumla una 6, quiz hufanyi, lab report mbovu, CA ya 16, UE unapata 10,, matokeo yanaoka una supp, unanipigia simu nikusaidie na unajijua ni pisi kali,, pesa ya kunipa yenyewe huna,,, unategemea nn?? Nkuache?? Wewe kama nan?
Tena ukiangalia madem wanaolalamika ni wale pini Kali ambao mambo yao ni miyeyusho tu, ko wanavuna walichopanda ,Yaa. Madem wanaohonga ngono wanaendana na ngono zenyew, pia msisahau kuwa chuo Kuna maticha ni mahandsom Zaid yetAssignment hufanyi, test 1 na 2 jumla una 6, quiz hufanyi, lab report mbovu, CA ya 16, UE unapata 10,, matokeo yanaoka una supp, unanipigia simu nikusaidie na unajijua ni pisi kali,, pesa ya kunipa yenyewe huna,,, unategemea nn?? Nkuache?? Wewe kama nan?
Labda kwa private institutions na sio gov,, nawajua lecturers baadhi ambao wametoka kuwa senior lecturers to Normal lecturers,, just because of posing threats kwa wanafunzi na kuwafelisha kwa makusudi ( na hiyo it's just kuwakomoa na sio kwamba walitaka sex)Hizo case huisha juu kwa juu mzee usifikirie watu wajinga