mangyi
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 723
- 877
Hili tatzo lipo kwenye vyuo vikuu Tz nzima. Na linasababishwa na pande zote mbili. Mkufunzi anamtwngenezea mazingira kumbafu mwanachuo wa kike ili akimlilia lilia apate iwe ndo tiketi ya kumpakua.
Pia kuna wanachuo wa kiume wanafelishwa kisa wanakula/wanataka kula anapokula mkufunzi.
Lakini kwa upande wa pili, wapo wadada wanaomtengenezea mazingira kumbafu mkufunzi ili wapendelewe kwenye mitihani na assignments.