UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

Hili tatzo lipo kwenye vyuo vikuu Tz nzima. Na linasababishwa na pande zote mbili. Mkufunzi anamtwngenezea mazingira kumbafu mwanachuo wa kike ili akimlilia lilia apate iwe ndo tiketi ya kumpakua.

Pia kuna wanachuo wa kiume wanafelishwa kisa wanakula/wanataka kula anapokula mkufunzi.

Lakini kwa upande wa pili, wapo wadada wanaomtengenezea mazingira kumbafu mkufunzi ili wapendelewe kwenye mitihani na assignments.
 
Labda kwa private institutions na sio gov,, nawajua lecturers baadhi ambao wametoka kuwa senior lecturers to Normal lecturers,, just because of posing threats kwa wanafunzi na kuwafelisha kwa makusudi ( na hiyo it's just kuwakomoa na sio kwamba walitaka sex)

Yes perverts wapo wengi tu, lakn eti just because ww ni "mwanafunzi mzembe" ndo ujifanye easy prey watakutafuna tu,,

I
private huwezi fanya huo upumbavu. Utawekwa ndani na kazi utatimuliwa tena ndo ukute private inayosimamiwa na shirika la dini kama katoliki, huko ndo hakuna cha mswalia mtume, watakaokutetea mnaondoka nao ili wakakuliwaze vzr nyumbani pamoja na mkeo.

Huko gvnt ndo mnafanyaga huu upumbavu wa kutongoza wanafunzi, sababu kuna uhuru na kuteteana. Usije jaribu private hata siku moja, utalia.
 
mbususu inamkosesha kazi;
jamaa hayuko makini;
kutongoza si kosa,kulazimisha mapenzi ni upumbavu kiwango cha sgr;
naomba apewe adhabu;
Mabint jau sana... Sasa hapo bint kajidharirisha sana, na kama ni mwaka wapili basi atamaliza kwa mbinde sana... Jaman Hawa watu ni wanaumoja hatar, ko kesi itaemda itaisha then fate ya mwanafunzi ni ipi....hamalizi chuo huyo wanamkazia balaa, Sasa kafaidika Nini, what if Kama lecture alimtongoza nje ya Kaz,....fact ni kuwa lecture anashinda kesi kwakuwa hajabaka,...
Bint ni over 18,...
Pili huenda bint kafeli kweli ....
Tatu bint kashika kwenye makali atulie tu na kashajishusha vyeo, ogopa sana kuwa chambo , Hawa wakubwa wanalindana sana lecture anaconnection had police na mahakaman,.huyu sio wa kwanza kufanya hivi laknsio Wawa mwisho pia....hvi vitu suruhisho lake ni msuli tu ili uwe na marks za uhakika....Sasa mtu unaona sup,unapga simu ya Nini, subiri ratiba kapige pepa
 
kun kiumbe kipo mipango kinaitwa mbalawa siku c nyingi juhudi zake zitfika ukingoni atajutia, tnasubir ashilikilie vlvy n sup zke.
 
Mabint jau sana... Sasa hapo bint kajidharirisha sana, na kama ni mwaka wapili basi atamaliza kwa mbinde sana... Jaman Hawa watu ni wanaumoja hatar, ko kesi itaemda itaisha then fate ya mwanafunzi ni ipi....hamalizi chuo huyo wanamkazia balaa, Sasa kafaidika Nini, what if Kama lecture alimtongoza nje ya Kaz,....fact ni kuwa lecture anashinda kesi kwakuwa hajabaka,...
Bint ni over 18,...
Pili huenda bint kafeli kweli ....
Tatu bint kashika kwenye makali atulie tu na kashajishusha vyeo, ogopa sana kuwa chambo , Hawa wakubwa wanalindana sana lecture anaconnection had police na mahakaman,.huyu sio wa kwanza kufanya hivi laknsio Wawa mwisho pia....hvi vitu suruhisho lake ni msuli tu ili uwe na marks za uhakika....Sasa mtu unaona sup,unapga simu ya Nini, subiri ratiba kapige pepa
tulia wewe, ukishakuwa lecturer wa udom huna haki ya kutongoza. Ukitongoza tuu amua uache kazi mwenyewe au tuje tukufumuwe marinda.
 
no smoking gun

wangemrekodi anawatisha kuwafelisha, sio kumuingilia chumbani....kulala na mwanafunzi sio kosa... kuna watu wameolewa na ma lecturer wao....

mwalimu akimalizana na mwanjiri wake akaishitaki hoteli kwa ku violate faragha yake
 
Jamaa yuko na kipensi mkewe atakuwa kashainyaka dah aibu sana yani unless otherwise awe hajaoa
wale wakufunzi ni malaya hawaoni aibu mkuu, they are agents of evil, yani kwa kifupi kuchakata vitumbua ni kama jukumu lao la msingi
 
Ni hatari, Nashukuru Mungu nimesoma chuo tena hapo Udom ila sikuwahi kua na mahusiano na mwanachuo, niliyokua najionea kwa hawa watoto wa kike ni ya kutisha.

Yaani kwanza kama unavyosema ni vilaza ile mbaya, hawasomi wanakula bata tu. Pili wao wenyewe ndiyo wanajisort kwenye mfumo wa kuliwa ili wasaidike, hawa wakirudi huku kitaa washakua used ile mbaya.

View attachment 1989246
Hawasomi course work mbovu bado UE wanapiga below hata mwalimu kukusaidia na mark up pia anashindwa
Kwa nini sasa hapo usishikwe ?

Wao wanajua bata na kubadilisha mitindo ya nywele
 
Niseme tu huyu jamaa, kwanza kasababisha wenye wapenzi wao wapo chuo waanze kuishi kwa stress saaana! pili hata wale wenye wapenzi wametoka chuo, kwa sasa wamepoteza iman na hao wapenzi wao, hiv vtendo vkomeshwe! vaa uhusika kuwa ww n mzazi wa mtoto wako wa kike!
 
tulia ide, tafuta dem chuo kingine anaeliwa na mwal ambaye hakugundishi maana hao wapenzi mkimaliza chuo mtaachana waachie na walimu nao wale posho
 
Si utaniwekea A sir [emoji3][emoji1787]?
IMG_20211029_115643.jpg
 
Back
Top Bottom