BM33
Member
- Apr 19, 2020
- 61
- 60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo anajua wazi CCM hawawezi kuwapigania wakulima wa pamba?Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Halafu hawa ndio eti qualified kutuambia sisi kitu cha kufanya?Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema mnapaswa kumuelewa mzee Momose Cheyo!Halafu hawa ndio eti qualified kutuambia sisi kitu cha kufanya?
Yule mzee Cheyo naye akili zake zimesharudi kwenye hali ya utoto. Hawa siyo watu wa kusikiliza tena sasa hivi.Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.

Huyu Mzee wa Kisukuma Mnafiki. Mwaka 1995 badala Kunadi Sera zake kwenye Mdahalo aliamua kumchafua Mrems aliyekuwa anakaribia kuwa Rais wa Tanzania Kwa jinsi aliyokuwa anapendwa. Hata Chama Chake Sijui kina memba wangapiMwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Hawa wazee wamechanganyikiwa mpka wanaomba majimbo CCM badala ya wapiga kura jamani?Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa 100% na ameiomba CCM iwaachie walau wabunge wawili watakaowapigania wakulima wa pamba bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanini wabunge wa CHADEMA wawapiganie wakulima wa pamba huku yeye anawaunga mkono hao Mataga wenzake?
Inamanisha wao UDP si chama cha upinzani tena bali chama mshirika wa ccm!?Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.