Uchaguzi 2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

Kuleta habari za Cheyo katika jukwaa hili ni kulivunjia heshima.
 
Unafiki unampendeza Kijana lakini Mzee kama Cheyo unafiki unamchukiza hata yeye
 
Sasa kwanini hoja ya TUME HURU inapuuzwa wakati imeshakuwa rasmi kuwa majimbo yanatoka kwa kutaka kwa CCM?
 
Kwa hiyo anajua wazi CCM hawawezi kuwapigania wakulima wa pamba?
Unamsifu mtu ukidhani unamponda!!
 
Halafu hawa ndio eti qualified kutuambia sisi kitu cha kufanya?
 
Yule mzee Cheyo naye akili zake zimesharudi kwenye hali ya utoto. Hawa siyo watu wa kusikiliza tena sasa hivi.
 
Kwani Wabunge wa CCM hawawezi kuwatetea Wakulima wa pamba Bungeni?
True revolution comes from within oneself....!
 
Huyu Mzee wa Kisukuma Mnafiki. Mwaka 1995 badala Kunadi Sera zake kwenye Mdahalo aliamua kumchafua Mrems aliyekuwa anakaribia kuwa Rais wa Tanzania Kwa jinsi aliyokuwa anapendwa. Hata Chama Chake Sijui kina memba wangapi
 

UDP na mzee cheyo hajui analolifanya masikini. amekaa kama mjinga aliyokomaa. pumbazu sana yule .
 
Hawa wazee wamechanganyikiwa mpka wanaomba majimbo CCM badala ya wapiga kura jamani?
 
Inamanisha wao UDP si chama cha upinzani tena bali chama mshirika wa ccm!?
 
Cheyo anawaombea AJIRA wenzake wawili. Si anadai CCM ni chama imara sasa kwanini kisiwapiganie hao wakulima? Kwanini hao jamaa wawili asiwaachie warudi CCM?

Ruzuku Ruzuku Ruzuku!
 
cheyo anachekesha:

1. kwamba yeye kushinda kwa chama chake hadi asaidiwe (sasa kuna haja gani kuwa na chama)

2.wabunge ccm hawawezi tete mkulima wa pamba (wako ki maslai yao na sio wakulima)

aache utani huyu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…