Uchaguzi 2020 UDP yawahurumia CHADEMA kwa kujiita wapinzani, yawaomba CCM wawaachie walau majimbo mawili

Hivi huyu mzee ana watoto kweli?
 

Cheyo angeamua kumuunga mkono poti kwa kujiunga CCM kabisa yeye na UDP yake akawapiganie huko wakulima wote.
 
Mizee kama hii ni hasara kubwa kwa taifa.
 
Wazee wengine wajifunze kukaaa kimya, wasije wakasema tunawakosea adabu.
 
So it's not the voters who decide who to be leaders but rather the ruling party @ccm_tanzania does so! And y'all out there expecting #FreeAndFairElections?

Let's come together to fight for #TumeHuruYaUchaguzi if we really want our votes to be meaningful.
#ChangeTanzania https:
 
Sijaelewa mid,wabunge wawili kwa chama chake ama,Chadema
 
Juzi wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani cha UDP Bw.Cheyo wakati akitoa salamu kwenye mkutano huo alisikika akiiomba CCM impe Wabunge 3 na Diwani 1 kitendo ambacho mpaka muda sijakielewa.Ukweli napata shida kuamini kama Tanzania iko makini na Siasa za Vyama vingi na kuwa na Vyama vya aina ya UDP.
 
UDP ni kakikundi ka watu fulani ilishapotea kwenye ramani kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…