UDSM acheni kuharibia vijana future zao

UDSM acheni kuharibia vijana future zao

Naona wanafunzi wa jalalani wamefeli!

Sasa hiyo ni account sijui kule COeT hali ikoje!
Enzi zetu coet kuna mwamba alikua anaitwa nyahoro...huyo anaingia na camera kwenye test ili kama unapiga chabo apate ushahid[emoji16]

***** kuna mwanangu m1 alikua ana supp 7
 
Kawaida sana. Halafu sio wote walifanya vizuri advance na O-evel, so ni kawaida sana.
 
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20.inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Tatizo wengi wanakaa JF na Twitter kumnanga JPM wanasahau kusoma. Je, UDSM wafanye nini kutwa kucha upo hapa unahangaika na watu kama Nyankurungu2020 ambao wanalipwa na chadema kufanya kazi hiyo. Akitoka hapa anatafuta K ya dezo; unafikiri kitabu ni mchezo?
 
Nguvu ya kubadilisha matokeo mabaya ya test 1 ipo mikonon8 mwako mwenyewe sikuzote mkuu....

kupata 1 kunatokana na kambo mengi kama kwenda OP maswali yote, kutosoma kabisa,kuumwa siku ya test, starehe, utoro nk...

Wengi sana tumewahi haribu test 1 kwa kupata chini ya 5 ila test 2 tunafanya maajabu makubwa sana na UE tunapita.
 
Tena bora huko Udbs hata below 16 ya CW unaweza kufanya UE hata kwa marks hizo hapo mshikemshike upo COSS ndiyo utaona balaa una carry hivihivi course usipopata huruma ya mwl
COSS kule kuna wale malecturer wazee ambao mpaka leo wanatumia notes za 2010.Wabishi hao.wanasoma vitabu vile ambavyo vimeshageuka rangi ya karatasi kama vililowa mvua vika kaushwa kwenye moto.

wabishi hao
 
COSS kule kuna wale malecturer wazee ambao mpaka leo wanatumia notes za 2010.Wabishi hao.wanasoma vitabu vile ambavyo vimeshageuka rangi ya karatasi kama vililowa mvua vika kaushwa kwenye moto.

wabishi hao
Coss kuna shida hassaaaa..
 
Hahah wala usione kaonewa mkuu, hiyo ipo sana na ni kawaida ikiwa tu hujazungatia vipindi na hukujibu mtihani kwa usahihi. Binafsi hizo namba nimepata sana, so sishangai.
 
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Tatizo madogo wamekaririshwa chuo bata, wakifika chuo badala ya kuongeza spid, wanapunguza usiriaz na spid ya kusoma.

Halafu baadhi ya walimu wa vyuo vichwa ngumu kweli, wanakaza utazani hizo ajira/kazi ni wao wanatoa bila ya kujua hata hizo ajira zenyewe ni changamoto.
 
Wewe ni mpumbavu nakushauri tu kasome wenzako wanasoma naona hapo wamefaulu vizuri mfano test 1 hapo wa kwanza kapata 17 wewe unaacha kusoma unapata moja unakuja kulalamika jamii forum. Kiufupi future yako unajiharibia mwenyewe halafu utakuja kutamba mtaani huku eti msomi nonsense!
 
Back
Top Bottom