NIMEKIMBIA CCM
Senior Member
- Oct 4, 2011
- 193
- 26
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania.
-mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne africa?,,alafu akauliza kwa ubora au kwa ujinga akajibiwa kwa ubora.
akacheka sana kisha akasema watanzania tumeshaonwa hatuna akili kabisa hivi kweli udsm hiki chuo cha kipumbavu,,sisi kila siku tunapata sana shida na product za pale udsm huku maofisini, akasema...
1.huwa hawajui kitu wakija maofisini(ni vilaza wa kupindukia hasa wenzangu wahandisi)
2.hajamaliza hata mwezi huchelewi kusikia kashaanza mahusiano ya kingono na mfanya kazi mwenzake(japo sio wote lakini wengi wao)
3.wananidhamu mbovu mno maofisini(pombe na jeuri na kiburi)
AKATETEA KIDOGO
aakasema kwamambo ya law,sociolpgy,human resource wanaweza wakawa wanajitahidi lakini kwa engineering vilaza sana na kuwaumiza vichwa wanafunzi kwa kuwakomoa kuwapa maswali magumu kwenye mitihani lakini practical zeroooooooo,,,(wakizani ndio sifa pekee yakuwa bora katika kufundisha)
sasa badae kijana mmoja akamuuliza je unatushauri nini sisi tunaotegemea kwenda huko alijibu....sina uhakika kwa faninyingine lakini kwa engineering sikushauri na wala sitaki mwanagu aende pale,,,
akapendekeza vyuo vifuatavyo
1.kama anataka mambo ya civil(aende DIT au MIST hata ST joseph)
2.kama anataka mambo ya IT na computer (Aende ST JOSEPH(cha wahindi))---akataadharisha kuwa pale pana gharama kubwa ya ada
3.mechanical(DIT)
Basi aliongea mengi lakini akasema chuo cha udsm hamna kitu cha kumfanya mtu akione kinamfanya mwanafunze atoke nondo kwa sababu wameweka siasa mbele sana
akamalizia kwa kusema
1.hata syllabus yao ni ya zamani mno haifanyiwi marekebisho kulingana na mabadiliko ya kiutandawazi
2.mazingira yao ni machafu mno akatolea mfano VYOO..akasema havitamaniki.
MWISHO AKASEMA UDSM ILIKUWA ZAMANI SASA HIVI NI TAKATAKA
MY TAKE
IPO SIKU TUTAKUJA KUTIWA MOYo UDSM NI CHUO CHA KWANZA AFRICA NA CHA PILI DUNIANI KWA UBORA
nawasilisha