Udsm chuo cha nne kwa ubora africa(ulikuwa mjadala mtamu sana)

Udsm chuo cha nne kwa ubora africa(ulikuwa mjadala mtamu sana)

wewe ndugu yangu ulinyimwa admission udsm nini?maana unakandia sana na hayo ni maneno yako nadhani.so sijaona mantiki ya kuleta thread kama hiyo....wewe pia unawivu ulikosa ud haha.jipe moyo,ud ni chuo kikongwe sana tangu baba yako kasoma pale bwana ,so kinasifa ya kuitwa bora,mengine ni mapungufu ambayo yanarekeishika ndugu..mimi si kwamba natetea ud hapana.kwanza sisomi hhapa ud,ila huo ndo ukweli.:sad:
uzu huu unawachangiaji zaidi ya 15 ukiwemo na wewe,,pia wapo waliosoma zaidi ya 500,,hivyo naona bado ulikuwa una umuhimu kuwepo hapa,,,
 
uzu huu unawachangiaji zaidi ya 15 ukiwemo na wewe,,pia wapo waliosoma zaidi ya 500,,hivyo naona bado ulikuwa una umuhimu kuwepo hapa,,,
hauna umuhimu.watu walijua kuna kitu cha maana zaidi ndio maana waliupitia ndugu,lakini ukiangalia ratio ya wapiitiaji na wachangiaji utakuta nisawa na 15:500 AMBAYO NI KIDUCHU
 
pole rafiki nipo kazini sasa,,,nilipofika form four sikutaka mambo ya form 5 na 6 sikuona faida yake kwangu mimi,,nikaamua kwenda dit kusoma diploma,,,badae nilipata udhamini nikasoma tsu(u.s.a),,nimerudi tanzania nipo barick napiga job

Kaka Uko Vizuri! Bonge la Exposure. Big Up Sana tu.
 
Kwa kigezo gani kama wanafunzi hawajui hata kuandika sentensi ya kiingereza vipi inakuwaje ya nne kwa ubora Afrika? Majanga.

Inawezekana kweli hii?.mithihani ya form 6 alijibuje kama hawezi hata kuandika sentesi moja kwa kiingereza?,au mithihani yao siku hizi wanafanya kwa kiswahili?
 
Back
Top Bottom