Mzee Wa Liverpool
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 197
- 22
MIST ndo chuo gani?
🙄
kinaitwa MUST sasa ivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MIST ndo chuo gani?
🙄
mwambie huyo mzee na wewe wote ni mafala tu kwa kupoteza muda wenu wa kuponda udsm
kinaitwa must sasa ivi
uzu huu unawachangiaji zaidi ya 15 ukiwemo na wewe,,pia wapo waliosoma zaidi ya 500,,hivyo naona bado ulikuwa una umuhimu kuwepo hapa,,,wewe ndugu yangu ulinyimwa admission udsm nini?maana unakandia sana na hayo ni maneno yako nadhani.so sijaona mantiki ya kuleta thread kama hiyo....wewe pia unawivu ulikosa ud haha.jipe moyo,ud ni chuo kikongwe sana tangu baba yako kasoma pale bwana ,so kinasifa ya kuitwa bora,mengine ni mapungufu ambayo yanarekeishika ndugu..mimi si kwamba natetea ud hapana.kwanza sisomi hhapa ud,ila huo ndo ukweli.:sad:
hauna umuhimu.watu walijua kuna kitu cha maana zaidi ndio maana waliupitia ndugu,lakini ukiangalia ratio ya wapiitiaji na wachangiaji utakuta nisawa na 15:500 AMBAYO NI KIDUCHUuzu huu unawachangiaji zaidi ya 15 ukiwemo na wewe,,pia wapo waliosoma zaidi ya 500,,hivyo naona bado ulikuwa una umuhimu kuwepo hapa,,,
pole rafiki nipo kazini sasa,,,nilipofika form four sikutaka mambo ya form 5 na 6 sikuona faida yake kwangu mimi,,nikaamua kwenda dit kusoma diploma,,,badae nilipata udhamini nikasoma tsu(u.s.a),,nimerudi tanzania nipo barick napiga job
Kwa kigezo gani kama wanafunzi hawajui hata kuandika sentensi ya kiingereza vipi inakuwaje ya nne kwa ubora Afrika? Majanga.