Udsm chuo cha nne kwa ubora africa(ulikuwa mjadala mtamu sana)

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
193
Reaction score
26
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania.
-mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne africa?,,alafu akauliza kwa ubora au kwa ujinga akajibiwa kwa ubora.
akacheka sana kisha akasema watanzania tumeshaonwa hatuna akili kabisa hivi kweli udsm hiki chuo cha kipumbavu,,sisi kila siku tunapata sana shida na product za pale udsm huku maofisini, akasema...
1.huwa hawajui kitu wakija maofisini(ni vilaza wa kupindukia hasa wenzangu wahandisi)
2.hajamaliza hata mwezi huchelewi kusikia kashaanza mahusiano ya kingono na mfanya kazi mwenzake(japo sio wote lakini wengi wao)
3.wananidhamu mbovu mno maofisini(pombe na jeuri na kiburi)

AKATETEA KIDOGO
aakasema kwamambo ya law,sociolpgy,human resource wanaweza wakawa wanajitahidi lakini kwa engineering vilaza sana na kuwaumiza vichwa wanafunzi kwa kuwakomoa kuwapa maswali magumu kwenye mitihani lakini practical zeroooooooo,,,(wakizani ndio sifa pekee yakuwa bora katika kufundisha)
sasa badae kijana mmoja akamuuliza je unatushauri nini sisi tunaotegemea kwenda huko alijibu....sina uhakika kwa faninyingine lakini kwa engineering sikushauri na wala sitaki mwanagu aende pale,,,
akapendekeza vyuo vifuatavyo

1.kama anataka mambo ya civil(aende DIT au MIST hata ST joseph)
2.kama anataka mambo ya IT na computer (Aende ST JOSEPH(cha wahindi))---akataadharisha kuwa pale pana gharama kubwa ya ada
3.mechanical(DIT)

Basi aliongea mengi lakini akasema chuo cha udsm hamna kitu cha kumfanya mtu akione kinamfanya mwanafunze atoke nondo kwa sababu wameweka siasa mbele sana

akamalizia kwa kusema

1.hata syllabus yao ni ya zamani mno haifanyiwi marekebisho kulingana na mabadiliko ya kiutandawazi
2.mazingira yao ni machafu mno akatolea mfano VYOO..akasema havitamaniki.
MWISHO AKASEMA UDSM ILIKUWA ZAMANI SASA HIVI NI TAKATAKA

MY TAKE
IPO SIKU TUTAKUJA KUTIWA MOYo UDSM NI CHUO CHA KWANZA AFRICA NA CHA PILI DUNIANI KWA UBORA
nawasilisha
 
Acha wivu wa kike kijana..jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukakosa nafasi ya kwenda pale the HILL.

soma elewa hayo sio ,maneno yangu,,,na kama wewe ni product ya pale ndio kabisa nazidi kuamini chuo chetu ni vilaza hata wa kufikiria nilitegemea uje ukanushe kwa hoja nzuri lakini umeishia kuleta taarabu,,,karibu tena ukiisha jipanga
 
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania.
-mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne africa?,,alafu akauliza kwa ubora au kwa ujinga akajibiwa kwa ubora.
akacheka sana kisha akasema watanzania tumeshaonwa hatuna akili kabisa hivi kweli udsm hiki chuo cha kipumbavu,,sisi kila siku tunapata sana shida na product za pale udsm huku maofisini, akasema...
1.huwa hawajui kitu wakija maofisini(ni vilaza wa kupindukia hasa wenzangu wahandisi)
2.hajamaliza hata mwezi huchelewi kusikia kashaanza mahusiano ya kingono na mfanya kazi mwenzake(japo sio wote lakini wengi wao)
3.wananidhamu mbovu mno maofisini(pombe na jeuri na kiburi)

AKATETEA KIDOGO
aakasema kwamambo ya law,sociolpgy,human resource wanaweza wakawa wanajitahidi lakini kwa engineering vilaza sana na kuwaumiza vichwa wanafunzi kwa kuwakomoa kuwapa maswali magumu kwenye mitihani lakini practical zeroooooooo,,,(wakizani ndio sifa pekee yakuwa bora katika kufundisha)
sasa badae kijana mmoja akamuuliza je unatushauri nini sisi tunaotegemea kwenda huko alijibu....sina uhakika kwa faninyingine lakini kwa engineering sikushauri na wala sitaki mwanagu aende pale,,,
akapendekeza vyuo vifuatavyo

1.kama anataka mambo ya civil(aende DIT au MIST hata ST joseph)
2.kama anataka mambo ya IT na computer (Aende ST JOSEPH(cha wahindi))---akataadharisha kuwa pale pana gharama kubwa ya ada
3.mechanical(DIT)

Basi aliongea mengi lakini akasema chuo cha udsm hamna kitu cha kumfanya mtu akione kinamfanya mwanafunze atoke nondo kwa sababu wameweka siasa mbele sana

akamalizia kwa kusema

1.hata syllabus yao ni ya zamani mno haifanyiwi marekebisho kulingana na mabadiliko ya kiutandawazi
2.mazingira yao ni machafu mno akatolea mfano VYOO..akasema havitamaniki.
MWISHO AKASEMA UDSM ILIKUWA ZAMANI SASA HIVI NI TAKATAKA

MY TAKE
IPO SIKU TUTAKUJA KUTIWA MOYo UDSM NI CHUO CHA KWANZA AFRICA NA CHA PILI DUNIANI KWA UBORA
nawasilisha

ni mtu asiye na akili tu anaweza akaposti uozo kama huo.....kichwa ni kwa ajili ya tafakuri sio sehemu ya kuweka viduku au kufugia nywele
 
jamani bado naamini ujumbe au hoja yangu nimeiwasilisha vizuri,,,,jazba na hasira hazitasaidia nategemea mtu aje kujibu hoja kama ni ukweli yasemwayo au la
 
Acha wivu wa kike kijana..jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukakosa nafasi ya kwenda pale the HILL.

Huku ndio kuendeleza kujisifu kwa ujinga alama gani unajisifia wakati professionally ni empty set. sikiliza ushauri wa wakubwa dogo usijevishwa khanga
 
jamani bado naamini ujumbe au hoja yangu nimeiwasilisha vizuri,,,,jazba na hasira hazitasaidia nategemea mtu aje kujibu hoja kama ni ukweli yasemwayo au la

Umegusa pabaya, kwani hujui ukweli unauma?
 
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania.
-mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne africa?,,alafu akauliza kwa ubora au kwa ujinga akajibiwa kwa ubora.
akacheka sana kisha akasema watanzania tumeshaonwa hatuna akili kabisa hivi kweli udsm hiki chuo cha kipumbavu,,sisi kila siku tunapata sana shida na product za pale udsm huku maofisini, akasema...
1.huwa hawajui kitu wakija maofisini(ni vilaza wa kupindukia hasa wenzangu wahandisi)
2.hajamaliza hata mwezi huchelewi kusikia kashaanza mahusiano ya kingono na mfanya kazi mwenzake(japo sio wote lakini wengi wao)
3.wananidhamu mbovu mno maofisini(pombe na jeuri na kiburi)

AKATETEA KIDOGO
aakasema kwamambo ya law,sociolpgy,human resource wanaweza wakawa wanajitahidi lakini kwa engineering vilaza sana na kuwaumiza vichwa wanafunzi kwa kuwakomoa kuwapa maswali magumu kwenye mitihani lakini practical zeroooooooo,,,(wakizani ndio sifa pekee yakuwa bora katika kufundisha)
sasa badae kijana mmoja akamuuliza je unatushauri nini sisi tunaotegemea kwenda huko alijibu....sina uhakika kwa faninyingine lakini kwa engineering sikushauri na wala sitaki mwanagu aende pale,,,
akapendekeza vyuo vifuatavyo

1.kama anataka mambo ya civil(aende DIT au MIST hata ST joseph)
2.kama anataka mambo ya IT na computer (Aende ST JOSEPH(cha wahindi))---akataadharisha kuwa pale pana gharama kubwa ya ada
3.mechanical(DIT)

Basi aliongea mengi lakini akasema chuo cha udsm hamna kitu cha kumfanya mtu akione kinamfanya mwanafunze atoke nondo kwa sababu wameweka siasa mbele sana

akamalizia kwa kusema

1.hata syllabus yao ni ya zamani mno haifanyiwi marekebisho kulingana na mabadiliko ya kiutandawazi
2.mazingira yao ni machafu mno akatolea mfano VYOO..akasema havitamaniki.
MWISHO AKASEMA UDSM ILIKUWA ZAMANI SASA HIVI NI TAKATAKA

MY TAKE
IPO SIKU TUTAKUJA KUTIWA MOYo UDSM NI CHUO CHA KWANZA AFRICA NA CHA PILI DUNIANI KWA UBORA
nawasilisha

We unasoma chuo gan kwanza hapa Tanzania?au teku?au Tumain,?itakuwa Tuman,teku,kampala,,na zingine..ULIPATA NGAP FORM SIX?Acha ujinga,,,,,nenda kajipange tena,,,usituletee mawazo yenye mchanganyingo na pombe za kienyeji...
 
pole rafiki nipo kazini sasa,,,nilipofika form four sikutaka mambo ya form 5 na 6 sikuona faida yake kwangu mimi,,nikaamua kwenda dit kusoma diploma,,,badae nilipata udhamini nikasoma tsu(u.s.a),,nimerudi tanzania nipo barick napiga job
 
Kwa kigezo gani kama wanafunzi hawajui hata kuandika sentensi ya kiingereza vipi inakuwaje ya nne kwa ubora Afrika? Majanga.
 
Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania.
-mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne africa?,,alafu akauliza kwa ubora au kwa ujinga akajibiwa kwa ubora.
akacheka sana kisha akasema watanzania tumeshaonwa hatuna akili kabisa hivi kweli udsm hiki chuo cha kipumbavu,,sisi kila siku tunapata sana shida na product za pale udsm huku maofisini, akasema...
1.huwa hawajui kitu wakija maofisini(ni vilaza wa kupindukia hasa wenzangu wahandisi)
2.hajamaliza hata mwezi huchelewi kusikia kashaanza mahusiano ya kingono na mfanya kazi mwenzake(japo sio wote lakini wengi wao)
3.wananidhamu mbovu mno maofisini(pombe na jeuri na kiburi)

AKATETEA KIDOGO
aakasema kwamambo ya law,sociolpgy,human resource wanaweza wakawa wanajitahidi lakini kwa engineering vilaza sana na kuwaumiza vichwa wanafunzi kwa kuwakomoa kuwapa maswali magumu kwenye mitihani lakini practical zeroooooooo,,,(wakizani ndio sifa pekee yakuwa bora katika kufundisha)
sasa badae kijana mmoja akamuuliza je unatushauri nini sisi tunaotegemea kwenda huko alijibu....sina uhakika kwa faninyingine lakini kwa engineering sikushauri na wala sitaki mwanagu aende pale,,,
akapendekeza vyuo vifuatavyo

1.kama anataka mambo ya civil(aende DIT au MIST hata ST joseph)
2.kama anataka mambo ya IT na computer (Aende ST JOSEPH(cha wahindi))---akataadharisha kuwa pale pana gharama kubwa ya ada
3.mechanical(DIT)

Basi aliongea mengi lakini akasema chuo cha udsm hamna kitu cha kumfanya mtu akione kinamfanya mwanafunze atoke nondo kwa sababu wameweka siasa mbele sana

akamalizia kwa kusema

1.hata syllabus yao ni ya zamani mno haifanyiwi marekebisho kulingana na mabadiliko ya kiutandawazi
2.mazingira yao ni machafu mno akatolea mfano VYOO..akasema havitamaniki.
MWISHO AKASEMA UDSM ILIKUWA ZAMANI SASA HIVI NI TAKATAKA

MY TAKE
IPO SIKU TUTAKUJA KUTIWA MOYo UDSM NI CHUO CHA KWANZA AFRICA NA CHA PILI DUNIANI KWA UBORA
nawasilisha
mwambie huyo mzee na wewe wote ni mafala tu kwa kupoteza muda wenu wa kuponda UDSM
 
WEWE NDUGU YANGU ULINYIMWA ADMISSION UDSM NINI?MAANA UNAKANDIA SANA NA HAYO NI MANENO YAKO NADHANI.SO SIJAONA MANTIKI YA KULETA THREAD KAMA HIYO....WEWE PIA UNAWIVU ULIKOSA UD HAHA.JIPE MOYO,UD NI CHUO KIKONGWE SANA TANGU BABA YAKO KASOMA PALE BWANA ,SO KINASIFA YA KUITWA BORA,MENGINE NI MAPUNGUFU AMBAYO YANAREKEISHIKA NDUGU..MIMI SI KWAMBA NATETEA UD HAPANA.KWANZA SISOMI HHAPA UD,ILA HUO NDO UKWELI.:sad:
 
MIST ndo chuo gani?
🙄
 
Back
Top Bottom