UDSM-College of Engineering inaomba msaada

Haya ni matokeo ya kile tulicho Panda wengine wanazidi kusonga mbele sisi tunarudi nyuma,
Na hii Govn ya JK inatuandaa kuwa watumwa wa EAC kama hamuamini ngoja mtaniambia.
Watoto wetu wameeandaliwa kuwa watu kuanzia Darasa la kwanza mpaka chuo,
Mfano kama elimu sasa hivi ya shule ya msingi,Zama kuwa mwalimu ilikuwa ni kujitolea kutokana na uchumi wa Nchi kweli kulikuwa hakuna mtu anachukuwa mshahara mkubwa sasa leo hii Serikali moja watu wamoja mmoja anapokea shilingi 180,000 alafu wakati huo huo mtu mwingine anapokea 3,500,000 na wote hawa wanatumikia jamii.

Hata sikumoja hata ungekuwa wewe mwalimu usingefanya kwa moyo, maana hiyo kazi utakuwa hauipendi sababu haikusaidii kiivyo ndo maana watoto wetu wanalishwa sumu huko mashuleni kwasababu walimu wamekuwa wakipewa fedha ndogo,

Haya serikali hiyo hiyo inachukua Pesa zao (DESI) kama haujui waanga wakubwa ni Walimu wa shule za msingi wengi wamekufa kwa BP hii serikali imekaa kimya badala ya kurudisha pesa za watu na kama inazifanyia biashara ili zilete faida wagawiwe wote basi serikali iwatangazie na sio kukaa kimya sio picha nzuri ,

walimu wataiukumu sikumoja maana inatia uchungu kwa mwalimu wa shule ya msingi kuweka laki 8 desi hiyo unaweza kukuta ndio pato lake la miaka 4 sasa ukichukuwa unakuwa umemfanyisha kazi miaka 4 bila malipo yoyote.

Je! kweli waanga wa DESI wasipolipwa pesa zao na wanajuafika kuwa govt ndio inazishikilia kweli wataichagua tena hiyo govt.

Hatuko serious kuhusu elimu maana Waliweka mada kuwa tunaongoza kwa Uzalendo, inaweza kuwa sio uzalendo ni ujinga
 
Was it technically or politically because what I know is that in the past such a move as doing business at the college was almost impossible. Hata hivyo old thinking is still very alive among the Dons at college. Kuna watu pale wanachofikiri sio applicable in 21st century.
Kwakuwa kile ni chuo cha serikali tunategemea nani atafanya hizo changes? Lazima ziwe na baraka ya serikali. Kwabahati mbaya naona serikali hailioni hilo.Wako busy na kujisifia na idadi inayoongezeka ya wanafunzi
 


And this is wht irritates me the most! to them is just the numbers...................
 
Shame upon us,How come chuo kiombe msaada kwa jinsi hii? jamani tutafika kweli?Wakati huohuo mnasisitiza watu wasome sayansi ili wawe mainjinia ,wataenda kusomea wapi?

Mwanangu ndo mana tunaomba mchango wako...Bila Coet Baba`ko Ningekua wapi? So zichange bana, hata Mjukuu wetu atapopasua akapige Telecom Pale kama Babu yake...
 
Mwanangu ndo mana tunaomba mchango wako...Bila Coet Baba`ko Ningekua wapi? So zichange bana, hata Mjukuu wetu atapopasua akapige Telecom Pale kama Babu yake...

Hivi mfano hii fundraising ikashindwa kufika malengo wht will happen? Ina maana ndio tutaacha COET ife?
 
Hivi mfano hii fundraising ikashindwa kufika malengo wht will happen? Ina maana ndio tutaacha COET ife?

Haitaishia hapo nyambala, tutatafuta means nyingine mfano...pale esce(facult inayoinvovle comp eng, telecom na electrical) wachina walidhamini matengenezo pia kule kijitonyama pale chuo cha ttcl wachina wamedhamini ujenzi wa lab kali kinoma...very classic.

so mungu atawainua wengine tu usiogope mzee!
 
Mwanangu ndo mana tunaomba mchango wako...Bila Coet Baba`ko Ningekua wapi? So zichange bana, hata Mjukuu wetu atapopasua akapige Telecom Pale kama Babu yake...
To be honest,this is totally failure nawaambia,watakaochangia ni wachache sana na haitafikia malengo yaliyowekwa sababu imekaa kisiasa sana.Labda strategy ibadilishwe.
 
Some propositions to make the contributions more effective, easy and fast:-


1. Adopt money transfer schemes currently available in country such as MPESA & ZAP. This will ease contribution process for well wishers as they can transfer funds to your account at their convenience times using their mobile phones only.
2. Consider adopting "short-code" schemes by entering agreements with telco operators so that well wishers can write certain key words as sms to a short-code number and be deducted certain pre determined amounts (to be well communicated categorically) as their contributions to CoET cause. This means has been adopted even by some sports clubs such as Simba and Yanga and I believe they have proved to be very effective means for fund raising.


Relying on Bank account only will be an inconvenience to many and may hinder success of the process.


As alumni of the UDSM and FoE, and mostly as a Tanzanian, I surely will be proud to participate in the fund raising process.


http://groups.google.com/group/wanabidii/browse_thread/thread/275c1e15a6ca921c?hl=sw
 
ukweli mwingine ni baada ya Pilitical engineer kupewa chuo ameharibu kabisa, anataka kifike wapi haijulikani, walimu wanakikimbia chuo kila kukicha,nachojua ni kuwa vyuo vikuu kwa taaluma yake tu inatosha kujiendesha na ziada juu! why consulttancy companies zipo na zinamake alot? Jmbao jingine kubwa na baya kabisa hapa ni kuwa wale Lectures etc walipata hiyo nafasi baada ya kpata either 1st class or above 4.0GPA, wakaunganisha masters,then PHD then wamerudi kufundisha hadi leo, hawana uzoefu wowotw, kwa ufupi wao ni wanafunzi/wakusoma miaka yote, so ubunifu zero,experince ya kumake hela kwa taasisi zero!! wachanganye watu tofauti pale kutokana na utaalamu wao, leo nenda may be TRA, Mbeya Cement, VOda chukua wazoefu wawe wanamawazo chuoni wafundishe, watoe mawazo ya uwekezaji practical si wa makaratasi,otherwisw hamna kitu!!
 
Nilipata bahati ya kupita pale UDSM mwishoni mwa November 2009, kwa kweli nilisikitishwa sana na uchakavu wa infrastructure. Kuanzia Lecture rooms, Library, Administartion block na hata Halls ni choka mbaya. Mkakati mkubwa zaidi unahitajika kuliko huu. Kwa kweli enzi zetu pale FOE mambo yalikuwa poa sana hasa kwa msaada wa Germany . Ukiwa Fresher tu FoE unadakishwa "Drawing Board ya Nguvu na Scientific Calculator: fx 991 au 992".


Fundraising inaonyesha kuwa watu wanapaswa kuchangia kwa mwaka. Lakini ingependeza zaidi kama Prof. Katima angeambatanisha na Plans pengine na estimates za vitu ambavyo wanatarajia kufanya.Hii itawapa fursa wachangiaji kujua kiasi gani kimekusanywa year X,Y.. na kitu gani kimefanyika katika miaka hiyo.

Kuchangia ni muhimu sana hasa kwa sisi ma- Ex-Foe/COET, lakini michango hiyo italindwaje ili isifisadiwe?
 
Kwani JK anahitaji kutukanwa basi? Mbona anajitukanisha mwenyewe kila kukicha KWA VITENDO!
 
Wakuu,

Kimsingi Mpango wa CoET si mbaya. Taarifa nilizonazo ni kuwa mpaka sasa wamekusanya zaidi ya shilingi milioni 200. Pamoja na kwamba fedha hizi ni kidogo sana lakini wanastahili pongezi ukitilia maanani serikali imewasahau.

Kama nchi tuna wajibu wa kwenda mbali zaidi na kuwa na mipango mizuri na tutakayoitekeleza kwa dhati. Badala ya kuwapa maeneo ya madini yetu hao wanaoitwa wawekezaji kuna haja ya kubadili utaratibu na badala yake maeneo hayo tuvimilikishe vyuo vyetu vya elimu ya juu ili wao ndiyo wafanye hiyo kazi ya kuchimba madini kwani hawana uhaba wa wataalam. Naamini CoET wanaweza kuonyesha njia katika hili.
 
 
Message niliyopewa zamani zile ni kuwa kusoma engineering ni kukosea njia
 
Message niliyopewa zamani zile ni kuwa kusoma engineering ni kukosea njia

Fani yoyote inategemea na mhusika anajipangaje. Siyo uhandisi tu bali fani zote zinahitaji mtu kujituma, kuwa aggressive, kujiendeleza kila wakati, manake technolojia inakuwa kila siku na zaidi ni confidence. Hakuna mtu anayeweza kusema kuwa ukiwa kwenye fani nyingine mambo yako yanakuwa Super.

Unajua ni rahisi sana kwa Engineer kuwa mjasiriamali kama akiamua bila kujali yupo mjini au kijijini. Issue kubwa ni Innovativeness
 
Wakuu heshima mbele, Kama alivyosema Mugo, ni kweli kabisa hali COET kwa sasa ukienda ni mbaya, majengo yameharibika, yaani mvua ikinyesha ni kuvuja ile mbaya, infrastructute zimekwisha kabisa. Mwenye uwezo au mwenye chochote na yuko willing kuchangia please asadie chochote.
 
And this is wht irritates me the most! to them is just the numbers...................
Nyie hamshangai nusu nzima ya watoto waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamefeli? There is a serious problem in education hapa Tanzania, na something has to be done. Mimi i am shocked, lakii nadhani ndio matunda ya kuwa na viongozi wasio na elimu za maana.
 


serikari imesahau msemo wa kiswahili,kuwa ''usiache mbachao.......

Udsm kwa ujumla imesahaulika,nguvu zote dom,tutajutia sera hizi,hazina tija kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…