Mkanya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 599
- 14
Haya ni matokeo ya kile tulicho Panda wengine wanazidi kusonga mbele sisi tunarudi nyuma,
Na hii Govn ya JK inatuandaa kuwa watumwa wa EAC kama hamuamini ngoja mtaniambia.
Watoto wetu wameeandaliwa kuwa watu kuanzia Darasa la kwanza mpaka chuo,
Mfano kama elimu sasa hivi ya shule ya msingi,Zama kuwa mwalimu ilikuwa ni kujitolea kutokana na uchumi wa Nchi kweli kulikuwa hakuna mtu anachukuwa mshahara mkubwa sasa leo hii Serikali moja watu wamoja mmoja anapokea shilingi 180,000 alafu wakati huo huo mtu mwingine anapokea 3,500,000 na wote hawa wanatumikia jamii.
Hata sikumoja hata ungekuwa wewe mwalimu usingefanya kwa moyo, maana hiyo kazi utakuwa hauipendi sababu haikusaidii kiivyo ndo maana watoto wetu wanalishwa sumu huko mashuleni kwasababu walimu wamekuwa wakipewa fedha ndogo,
Haya serikali hiyo hiyo inachukua Pesa zao (DESI) kama haujui waanga wakubwa ni Walimu wa shule za msingi wengi wamekufa kwa BP hii serikali imekaa kimya badala ya kurudisha pesa za watu na kama inazifanyia biashara ili zilete faida wagawiwe wote basi serikali iwatangazie na sio kukaa kimya sio picha nzuri ,
walimu wataiukumu sikumoja maana inatia uchungu kwa mwalimu wa shule ya msingi kuweka laki 8 desi hiyo unaweza kukuta ndio pato lake la miaka 4 sasa ukichukuwa unakuwa umemfanyisha kazi miaka 4 bila malipo yoyote.
Je! kweli waanga wa DESI wasipolipwa pesa zao na wanajuafika kuwa govt ndio inazishikilia kweli wataichagua tena hiyo govt.
Hatuko serious kuhusu elimu maana Waliweka mada kuwa tunaongoza kwa Uzalendo, inaweza kuwa sio uzalendo ni ujinga