UDSM: Diamond Platnumz is The Most Inspiring as a Music Icon

⚫Tayari ni ICON wa taifa

⚫Kila mtu amekuwa inspired na diamond, wote wasanii na mashabiki wa muziki kwa ujumla, na tunaona wasanii wanazidi kujiongeza kisanii na kibiashara pia
(Baadhi ya mifano hai Christian bela the king of the best melodies amekiri hapa juzi hakuna mwanamuziki Tanzania hii asiyependa kufika alipo diamond platnumz,, Tunaona kipaji kinachokuja kwa kasi baraka da prince, ambaye amekiri kupata ushirikiano kutoka kwa wazazi wake hasa baba baada ya kuona mafanikio ya diamond)

⚫Tumepiga kura na Wasomi (kutoka chuo bora zaidi Afrika mashariki kwa sasa) wameona Hakuna ubishi hata chembe kwamba DIAMOND ni most inspiring MUSIC ICON
 
Haya maumivu yamfikie lukeko sakafu na tule mwenzake sijui anaitwa nani!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi ukiwa na hela tu unajiandalia tuzo vyuo vyenyewe siku hizi vimejaa wasanii tu.
 
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!

Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.
 
Na mengi nae kapewa kwa kuoa mjukuu wake? Siku hizi ukiwa na hela tu unajiandalia tuzo vyuo vyenyewe siku hizi vimejaa wasanii tu.

Kweli mkuu hizi tuzo za chumbani zimekuwa nyingi sana yani mtu anaamka tu asubuhi alafu anatoa tuzo.
 
Na mengi nae kapewa kwa kuoa mjukuu wake? Siku hizi ukiwa na hela tu unajiandalia tuzo vyuo vyenyewe siku hizi vimejaa wasanii tu.

issue is not wasanii, ni watu walioelimika, wasomi kutoka chuo bora zaidi Afrika mashariki, na kati ya vyuo kumi bora zaidi Africa...

Bado kidogo tu apewe udaktari wa heshima.. na kati ya vigezo vya washindi hakuna kinachoongelea marriage life ya mtu❇
 
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!

Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.

Nani kakwambia hawajapiga kura? waliopiga kura ni madokta na maprof
 

definitely kijanaa umeniziba mdomoo mana umemaliza kila kituuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…